Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa kwako umejaa usahaUbongo wako umejaa mavi
Lini lilitoroshwa hilo jiwe??Mbona hata JPM alipokuwepo watu walikua wanaiba madini wakipitisha chini ya ukuta aliojenga? Ufisadi haukuwahi kuisha Tanzania tofauti ni kwamba JPM alikua hapendi media kuongelea haya mambo maana aliona kama yanachafua serikali yake.
Hata wewe tu nikikuuliza kuna ripoti yoyote ya CAG imewahi ona hakuna wizi kabisa? JPM alichukua hatua Gani kwa watu wa TASAC kulipana mabilioni ya posho Kila mwaka? Alichukua hatua Gani kwa mafisadi wakina lugola? Nchambi alichukuliwa hatua Gani kwa ujangili wake? Kina sabaya na makonda waliopita watu pesa walichukuliwa hatuaa Gani? Walioiba makinikia walichukuliwa hatua Gani kina chenge na kafumu n.k? Tuliambiwa Acacia ni majizi na Mwanyika akaitwa fisadi kivipi alipewa ubunge na JPM? Au ufisadi uliisha alipojiunga CCM?
Msimkuze sana JPM ufisadi CCM haukuwahi kuisha na hautaisha mpaka siku muamke na kuitoa madarakani. Nyie mko busy kumshambulia Mama Samia ila mchawi mnajifanya hamumuoni!!
Funny
Inafikirisha sana !!!Mbona hata JPM alipokuwepo watu walikua wanaiba madini wakipitisha chini ya ukuta aliojenga? Ufisadi haukuwahi kuisha Tanzania tofauti ni kwamba JPM alikua hapendi media kuongelea haya mambo maana aliona kama yanachafua serikali yake.
Hata wewe tu nikikuuliza kuna ripoti yoyote ya CAG imewahi ona hakuna wizi kabisa? JPM alichukua hatua Gani kwa watu wa TASAC kulipana mabilioni ya posho Kila mwaka? Alichukua hatua Gani kwa mafisadi wakina lugola? Nchambi alichukuliwa hatua Gani kwa ujangili wake? Kina sabaya na makonda waliopita watu pesa walichukuliwa hatuaa Gani? Walioiba makinikia walichukuliwa hatua Gani kina chenge na kafumu n.k? Tuliambiwa Acacia ni majizi na Mwanyika akaitwa fisadi kivipi alipewa ubunge na JPM? Au ufisadi uliisha alipojiunga CCM?
Msimkuze sana JPM ufisadi CCM haukuwahi kuisha na hautaisha mpaka siku muamke na kuitoa madarakani. Nyie mko busy kumshambulia Mama Samia ila mchawi mnajifanya hamumuoni!!
Funny
We makalio kaa kimyaHuu ndo wakati wa kupiga. Kila mtu anapiga na wewe piga vinginevyo utaishia kulialia tu.
Ukijidai baba wa taifa hii nchi utakufa maskini. Ukipata nafasi zibua haswa.
Fix hizo, hilo jiwe limeenda na msafara wa Expo Dubai..unafikiri kutundikwa pale Burj Al Khalifa bure bure tu...Za kuambiwa changanya za kwako.
Umevaa shanga?Yaani wewee mleta mada ni limbuzi katoliki kweli kweli, yaani mimi mchimbaji nihangaike usiku na mchana kulichimba hilo li jiwe chini ya ardhi tena shambani kwangu alafu nikiisha lipata na kutaka kuliuza uniambie eti nimeibia au kutorosha nyara ya serikali???
Una ushahidi gani mbona madini ya tanzanite bado yalikuwa yanatoka pamoja na ukuta. Kila mtu alikuwa anajua Gold inapelekwa kenya kwa kupitia Mara mbona hawajafunga hapo. Ufisadi ulikuwepo wakati wa Magufuli kuliko sasa. Je unajua hilo jiwe limetoroshwa lini??Hivi madini ya pesa nyingi kama hizi yanatoroshwa na kwenda kuuzwa nje mamlaka husika hazina taarifa, huu ni uzembe mkubwa sana.
Taifa linaibiwa rasilimali zake kama shamba la bibi.
Hayati JPM alidhibiti haya mambo. Maana huko nyuma hata Nairobi ndio ilikuwa soko kubwa la dhahabu ya Tanzania na ilikuwa inatoroshwa kama pipi.
Leo hii Ruby ya bilioni 240 na ushee inatoroshwa kama vile mtu anavusha ubwabwa kwenye hotpot?
Kama angekuwepo hayati JPM vyombo vya ulinzi vingekuwa makini zaidi. Huu uzembe usingefanyika kabisa.
Tulishamaliza mkuu.
Acha kuishi kwa kusikia habari za kusikia, hearsay.Una ushahidi gani mbona madini ya tanzanite bado yalikuwa yanatoka pamoja na ukuta. Kila mtu alikuwa anajua Gold inapelekwa kenya kwa kupitia Mara mbona hawajafunga hapo. Ufisadi ulikuwepo wakati wa Magufuli kuliko sasa. Je unajua hilo jiwe limetoroshwa lini??
We makalio kaa kimya
Mimi sio wa type ya kupiga kwa njaa. FoolNakupa mbinu wewe boya.
Achana na mambo ya JPM vs SSH hayaweki msosi mezani.
Kulalamika hakulipi bills. Ni bora uwe mlalamikiwaji kuliko mlalamikaji ukiwahi kujua hili utapatia maisha. Wanasiasa wanaijua vyema hii dhana.
Kama wakati wa JPM watu hawakupiga ni sawa, sahizi ni awamu ya Maza awamu ya kupiga na wewe piga or else utapitwa watu tunazibua tunakuacha we endelea kulialia tu kama dent wa std 3C. Hakuna tuzo ya mwananchi mtiifu ilabata wanakula wenye hela wote regardless ya ulivyopata.
Vipi lile gaidi linalokusanya hela mtaani?Wacha upuuzi wewe hiyo ilitoroshwa enzi ya hilo gaidi lenu la kihutu linaloteseka jehanam
Kasome ripoti ya CAGJPM alifisadi nn mkuu?! Una ushahidi au ndo yaleyale ya Lowassa?! Kumchagua mzee Wa watu
Hiyo ni kubwa ukilinganisha na awamu ipi?Hebu someni hii report fupi ya CAG ndio utajua ufisadi kipindi cha JPM View attachment 2195552
Hata sheria zinahitaji mtu au kiongozi anayeweza kuzisimamia ili zitekelezeke,vinginevyo hamna utakachoambulia hata ukiwa na sheria nzuri namna gani.Dunia ya Leo unategemea mtu Mmoja kuendesha nchi badala ya Sheria?
Huu ndio uandishi wa kipimbi ambao wastaarabu ni lazima waupinge tena hadharani kabisa.Hivi madini ya pesa nyingi kama hizi yanatoroshwa na kwenda kuuzwa nje mamlaka husika hazina taarifa, huu ni uzembe mkubwa sana.