zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Acha uongo bei ya dhahabu iliporomoka since 2014 imekuja kustabilize 2018/19 Wala haina connection na JPM.Ujinga tupu, No usimamizi Bora wa JPM ndio pekee umekuja kufanya Sekta ya Madini kuchangia Pato kubwa la Taifa
Mbona mnajifanya wapuuzi na ukweli uko wazi?.
Sent from my V2118 using JamiiForums mobile app
Majambazi yalipotea Sana mtaani, naunga mkono hoja yakoRais fisadi kuliko wote waliowahi kutokea Tanzania
Mbaya zaidi alikuwa muuaji
Unaeza kutuambia aliiba nini na kikowapiJPM alikuwa jizi kuliko Rais yeyote Tz, na wizi wake ulikua unafanywa na watu wake wa ndani very selective
Majambazi yalipotea Sana mtaani, naunga mkono hoja yakoRais fisadi kuliko wote waliowahi kutokea Tanzania
Mbaya zaidi alikuwa muuaji
Wakati wa Magufuri alizidhiti kila kitu, mpaka wakaanza kusema wamekamata vinyonga 100 kutoka tanzania,abari za tanzanate kupatikana India na Kenya zilipotea,mpaka wakenya walimkamata mtanzani anatorosha dhahabu kupitia Nairobi,wakazirejesha nchini, Magufuri alikuwa abari nyingine kwa kulinda rasilimali za taifa,sio hawa ombaomba.Wakati wa jiwe, tusinge jua kabisaa kama imetoroshwa.
Nani angethubutu kusema?
Itoroshwe 2016 ije kuzinduliwa leo, hebu tumieni akili basi sometimes ni logic tu ndogo haihitaji kufikiri sanaMbona inasemekana imetoroshwa mwaka 2016 au 2019
Yakaibuka majambazi yaliyokuiwa yanavaa suti na kukaa ofisi za Serikali . Yanachukua bunduki na kuvamia benki na studio za TvMajambazi yalipotea Sana mtaani, naunga mkono hoja yako
Umeniwahi mkuu
Nilitaka nimuulize kua anajua hiyo ruby imepatikana mwaka gani au anabwabwaja tu??
Walienda kusimamisha Bureau de change zilizokuwa zinatakatisha pesaYakaibuka majambazi yaliyokuiwa yanavaa suti na kukaa ofisi za Serikali . Yanachukua bunduki na kuvamia benki na studio za Tv
Mererani alijenga ukuta na bado Tanzanite iliendelea kuibiwa. Rejea michango ya mbunge Msukuma bungeni na ule mkutano wa JPM na wachimbaji wadogo. Unasifia usichokijua.Hivi madini ya pesa nyingi kama hizi yanatoroshwa na kwenda kuuzwa nje mamlaka husika hazina taarifa, huu ni uzembe mkubwa sana.
Taifa linaibiwa rasilimali zake kama shamba la bibi.
Hayati JPM alidhibiti haya mambo. Maana huko nyuma hata Nairobi ndio ilikuwa soko kubwa la dhahabu ya Tanzania na ilikuwa inatoroshwa kama pipi.
Leo hii Ruby ya bilioni 240 na ushee inatoroshwa kama vile mtu anavusha ubwabwa kwenye hotpot?
Kama angekuwepo hayati JPM vyombo vya ulinzi vingekuwa makini zaidi. Huu uzembe usingefanyika kabisa.
U cant lie to us like dhat.Mererani alijenga ukuta na bado Tanzanite iliendelea kuibiwa. Rejea michango ya mbunge Msukuma bungeni na ule mkutano wa JPM na wachimbaji wadogo. Unasifia usichokijua.
Leta takwimu kabla ya magufuri kujenga ukuta na baada ya kujenga huo ukuta, China pamoja na kuweka sheria kali kwa wabadhirifu,lakini bado wanaiba,ukuta wa magufuri ulipunguza tatizo,hata kama halikuisha moja kwa moja, wakati wa Magufuri hatukusia takwimu tena za India na Kenya kuongoza kwa kuuza tanzanate kwenye masoko ya dunia.Mererani alijenga ukuta na bado Tanzanite iliendelea kuibiwa. Rejea michango ya mbunge Msukuma bungeni na ule mkutano wa JPM na wachimbaji wadogo. Unasifia usichokijua.
JPM alifisadi nn mkuu?! Una ushahidi au ndo yaleyale ya Lowassa?! Kumchagua mzee Wa watuRais fisadi kuliko wote waliowahi kutokea Tanzania
Mbaya zaidi alikuwa muuaji
Mkuu, wahuni wa Nairobi walihodhi soko la dhahabu la East and central Afrika. Walipanga bei wanavyotaka. Jpm aliwadhibiti baada ya kudhibiti kutoroshwa dhahabu.Acha uongo bei ya dhahabu iliporomoka since 2014 imekuja kustabilize 2018/19 Wala haina connection na JPM.
In fact Bado 84% ya pesa ya madini unaenda kwa Acacia!! Hiyo 16% ndio ipandishe GDP? kumbuka hyo ni kampuni mpya mpka ije kubreak even unadhani ni Leo au kesho tuanze kupata hta gawio Hilo dogo??
Mtaji wa CCM ni watu wasio na Elimu kama wewe.
Yeye mwenyewe alikuwa mwizi kuzidi hata hiyo thamani ya madini..Hivi madini ya pesa nyingi kama hizi yanatoroshwa na kwenda kuuzwa nje mamlaka husika hazina taarifa, huu ni uzembe mkubwa sana.
Taifa linaibiwa rasilimali zake kama shamba la bibi.
Hayati JPM alidhibiti haya mambo. Maana huko nyuma hata Nairobi ndio ilikuwa soko kubwa la dhahabu ya Tanzania na ilikuwa inatoroshwa kama pipi.
Leo hii Ruby ya bilioni 240 na ushee inatoroshwa kama vile mtu anavusha ubwabwa kwenye hotpot?
Kama angekuwepo hayati JPM vyombo vya ulinzi vingekuwa makini zaidi. Huu uzembe usingefanyika kabisa.
Ubongo wako umejaa maviYeye mwenyewe alikuwa mwizi kuzidi hata hiyo thamani ya madini..
Kajijengea hekalu kwake Chato,alikuwa anaiba via Tanroads,Mayanga,pigment kwenye mafuta na amri za matumizi ya pesa kwa watu wake nje ya utaratibu..
Kwa hiyo usituchoshe tuna hasira.
Very true bila unafiki na uchawa hiyo rubby isingetoroshwa kirahisi hivi pamoja na mapungufu yake yote but wizi ulipungua kidogo najua kuna nyumbu watabisha but wabishane na records na tafiti zilizofanywa huko duniani kuhusu hali ya Rushwa Tanzania kipindi cha jiweHivi madini ya pesa nyingi kama hizi yanatoroshwa na kwenda kuuzwa nje mamlaka husika hazina taarifa, huu ni uzembe mkubwa sana.