Angekuwepo Hayati Magufuli Ruby ya bilioni 240+ isingetoroshwa. Taifa litaibiwa sana rasilimali zake

Lini lilitoroshwa hilo jiwe??
 
Huu ndo wakati wa kupiga. Kila mtu anapiga na wewe piga vinginevyo utaishia kulialia tu.

Ukijidai baba wa taifa hii nchi utakufa maskini. Ukipata nafasi zibua haswa.
 
Inafikirisha sana !!!
 
Huu ndo wakati wa kupiga. Kila mtu anapiga na wewe piga vinginevyo utaishia kulialia tu.

Ukijidai baba wa taifa hii nchi utakufa maskini. Ukipata nafasi zibua haswa.
We makalio kaa kimya
 
Yaani wewee mleta mada ni limbuzi katoliki kweli kweli, yaani mimi mchimbaji nihangaike usiku na mchana kulichimba hilo li jiwe chini ya ardhi tena shambani kwangu alafu nikiisha lipata na kutaka kuliuza uniambie eti nimeibia au kutorosha nyara ya serikali???
 
Umevaa shanga?
 
Una ushahidi gani mbona madini ya tanzanite bado yalikuwa yanatoka pamoja na ukuta. Kila mtu alikuwa anajua Gold inapelekwa kenya kwa kupitia Mara mbona hawajafunga hapo. Ufisadi ulikuwepo wakati wa Magufuli kuliko sasa. Je unajua hilo jiwe limetoroshwa lini??
 
Acha kuishi kwa kusikia habari za kusikia, hearsay.
 
We makalio kaa kimya

Nakupa mbinu wewe boya.

Achana na mambo ya JPM vs SSH hayaweki msosi mezani.

Kulalamika hakulipi bills. Ni bora uwe mlalamikiwaji kuliko mlalamikaji ukiwahi kujua hili utapatia maisha. Wanasiasa wanaijua vyema hii dhana.

Kama wakati wa JPM watu hawakupiga ni sawa, sahizi ni awamu ya Maza awamu ya kupiga na wewe piga or else utapitwa watu tunazibua tunakuacha we endelea kulialia tu kama dent wa std 3C. Hakuna tuzo ya mwananchi mtiifu ilabata wanakula wenye hela wote regardless ya ulivyopata.
 
Mimi sio wa type ya kupiga kwa njaa. Fool
 
Dunia ya Leo unategemea mtu Mmoja kuendesha nchi badala ya Sheria?
Hata sheria zinahitaji mtu au kiongozi anayeweza kuzisimamia ili zitekelezeke,vinginevyo hamna utakachoambulia hata ukiwa na sheria nzuri namna gani.
 
Huu ndio uandishi wa kipimbi ambao wastaarabu ni lazima waupinge tena hadharani kabisa.

Unao ushahidi upi kama ile dhahabu iliyoweka wazi pale Dubai iliondoka nchini wakati wa Samia?. Kama ni sehemu ya ule mzigo uliomtajirisha Laizer wa Arusha, unapata wapi uhalali wa kuandika vitu wakati huna ushahidi?.

Akipakwa matope Samia ni poa tu lakini akianza kupakwa matope hayati mnaanza kumzodoa Rais SSH kama vile anampiga madongo marehemu!!.

Tulizeni vichwa vyenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…