bado nashangaa sana Rais Magufuli alikuwa muuaji ukimaanisha nini. Unafahamu historia ya nchi hii kweli? Unafahamu habari za Mwangosi, je unafahamu habari za Mauaji ya Kipindi cha Rais Mkapa?Rais fisadi kuliko wote waliowahi kutokea Tanzania
Mbaya zaidi alikuwa muuaji
Jana kwenye IG page,Msigwa alipost Kwa furaha Ile taarifa ya African News...... kuonyesha hiyo Ruby....Leo katoa baada ya kusikia waziri anajibu bungeni hawajui na wanafuatilia imefikaje........kifupi nchi yetu ni ya kijinga sana.....nadhani Kwa Dunia nzima inawezekana Tz ndiyo nchi yenye uongozi usiojali rasilimali zake duniani.......Hivi madini ya pesa nyingi kama hizi yanatoroshwa na kwenda kuuzwa nje mamlaka husika hazina taarifa, huu ni uzembe mkubwa sana.
Taifa linaibiwa rasilimali zake kama shamba la bibi.
Hayati JPM alidhibiti haya mambo. Maana huko nyuma hata Nairobi ndio ilikuwa soko kubwa la dhahabu ya Tanzania na ilikuwa inatoroshwa kama pipi.
Leo hii Ruby ya bilioni 240 na ushee inatoroshwa kama vile mtu anavusha ubwabwa kwenye hotpot?
Kama angekuwepo hayati JPM vyombo vya ulinzi vingekuwa makini zaidi. Huu uzembe usingefanyika kabisa.
Jidanganye, huwezi kumtia mtu hatiani bila Sheria.Hata sheria zinahitaji mtu au kiongozi anayeweza kuzisimamia ili zitekelezeke,vinginevyo hamna utakachoambulia hata ukiwa na sheria nzuri namna gani.
Ww ni mpuuzi huyo magufuli Yuko wapi? Nchi haiwezi kuongozwa na mtu Mmoja aliyejuu ya Sheria.Wee mjinga, Sheri hizo zipo tangu lini????
Nani anazisimamia.
Sibora JPM aliyeamua kupiga Rula!!.
Ok SHERIA zipo, nani azisimamie ????
Sent from my V2118 using JamiiForums mobile app
Hivi madini ya pesa nyingi kama hizi yanatoroshwa na kwenda kuuzwa nje mamlaka husika hazina taarifa, huu ni uzembe mkubwa sana.
Taifa linaibiwa rasilimali zake kama shamba la bibi.
Hayati JPM alidhibiti haya mambo. Maana huko nyuma hata Nairobi ndio ilikuwa soko kubwa la dhahabu ya Tanzania na ilikuwa inatoroshwa kama pipi.
Leo hii Ruby ya bilioni 240 na ushee inatoroshwa kama vile mtu anavusha ubwabwa kwenye hotpot?
Kama angekuwepo hayati JPM vyombo vya ulinzi vingekuwa makini zaidi. Huu uzembe usingefanyika kabisa.
Unauliza swali gani?Vipi zile dhahabu alizoleta uhuru kenyata zilifikaje kule kenya wakati magufuli alikuwepo au wewe ni msahaulifu?
Unatumia makalio na mavi kichwani kwani .Huu ndio uandishi wa kipimbi ambao wastaarabu ni lazima waupinge tena hadharani kabisa.
Unao ushahidi upi kama ile dhahabu iliyoweka wazi pale Dubai iliondoka nchini wakati wa Samia?. Kama ni sehemu ya ule mzigo uliomtajirisha Laizer wa Arusha, unapata wapi uhalali wa kuandika vitu wakati huna ushahidi?.
Akipakwa matope Samia ni poa tu lakini akianza kupakwa matope hayati mnaanza kumzodoa Rais SSH kama vile anampiga madongo marehemu!!.
Tulizeni vichwa vyenu.
wacha watu wapige pesa ukute rubi zipo nyingiBora alikufa watu watoroshe rubi kuliko kua hai akiishi kwa chuki kutesa na kuua
Kawaida ya wana propoganda watetezi wa bibi tozo😂!!!hii ruby ilitoroshwa enzi za Hayati 😆😆
Sahizi mpaka vyupi vimepanda bei kisa vita ya urusiKawaida ya wana propoganda watetezi wa bibi tozo😂!!!
Kufeli kwao kwa kila angle wanataka kumrushia lawama hayati JPM. Tunasubiri waseme na mfumuko wa bei aliuleta JPM
Watu wanasema tulitangazwa bure kwenye jengo la dubai..Hivi madini ya pesa nyingi kama hizi yanatoroshwa na kwenda kuuzwa nje mamlaka husika hazina taarifa, huu ni uzembe mkubwa sana.
Taifa linaibiwa rasilimali zake kama shamba la bibi.
Hayati JPM alidhibiti haya mambo. Maana huko nyuma hata Nairobi ndio ilikuwa soko kubwa la dhahabu ya Tanzania na ilikuwa inatoroshwa kama pipi.
Leo hii Ruby ya bilioni 240 na ushee inatoroshwa kama vile mtu anavusha ubwabwa kwenye hotpot?
Kama angekuwepo hayati JPM vyombo vya ulinzi vingekuwa makini zaidi. Huu uzembe usingefanyika kabisa.
Mavi kichwani ni ulichoandika na nikajikuta nalazimika kukijibu. Magufuli alikuwa binadamu wa kawaida tu.Unatumia makalio na mavi kichwani kwani .
Wakati linatoroshwa waziri wa madini alikuwa udom akisoma PhdHivi madini ya pesa nyingi kama hizi yanatoroshwa na kwenda kuuzwa nje mamlaka husika hazina taarifa, huu ni uzembe mkubwa sana.
Taifa linaibiwa rasilimali zake kama shamba la bibi.
Hayati JPM alidhibiti haya mambo. Maana huko nyuma hata Nairobi ndio ilikuwa soko kubwa la dhahabu ya Tanzania na ilikuwa inatoroshwa kama pipi.
Leo hii Ruby ya bilioni 240 na ushee inatoroshwa kama vile mtu anavusha ubwabwa kwenye hotpot?
Kama angekuwepo hayati JPM vyombo vya ulinzi vingekuwa makini zaidi. Huu uzembe usingefanyika kabisa.
Hapo sasa unampangia cha kuongea na yeye kanyofoa point kwenye mada yako akaona achangie hivyo maoni yake na yaheshimiwe.Jikite kwenye mada