Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mbona una ota unabaduliwa hatusemiUko ndotoni unaota unakimbizwa ni mzimu wa Chato.
Mbona mtateseka sana!!
Na nchi inazama shimoni.
Ni nani?Jiulize wanaofanya biashara ya mafuta nchini ni nani utajua kwanini amekaa kimyaaaa
Subiri utawajuaNi nani?
Utazama wewe na mamakoNa nchi inazama shimoni.
Yaani jiwe haya mazuzu aliyaharibu akili kweli !Ni kweli mkuu maana angegawa mafuta bure,vyuma vilivyokaza angeleta greese,machinga aliokuwa anawalipisha 20,000 angeacha na salary angeongeza na mikopo angeacha Kukopa maana Nchi hii nintajiri na tunajenga kwa pesa zetu.
Angalia na hili tahila la jiwe aliloliachaWewe mbona una ota unabaduliwa hatusemi
Ni vizuri sana bei zizidi kupanda ili wananchi waamke kutoka kwenye usingizi wa pono waliolala.Mi natamani Mungu amchukue ili tuanze na upya.yaani huu mfumo wa maisha yawatanzania ubadilike,tunakoelekea kilo ya mchele itakuwa 5000
Cheki hichi kijambio cha sa100 [emoji115]...Baba yako aliuza ng'ombe kukusomesha kumbe kauza ng'ombe kusomesha ng'ombe.Yaani jiwe haya mazuzu aliyaharibu akili kweli !
Angalia na hili tahila la jiwe aliloliacha
inabidi ukapimwe afya ya akili,we sio mzimaCheki hichi kijambio cha sa100 [emoji115]...Baba yako aliuza ng'ombe kukusomesha kumbe kauza ng'ombe kusomesha ng'ombe.
CCM NI [emoji117][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]
Kwaiyo unataka serikali isiweke Tozo? Nchi gani duniani inaendeshwa bila kodi? Labda nchi yenu takatifu israel hukoHili ndilo tatizo kubwa la Tanzania. Watu milioni 60 wanakuwa kama nyumbu na kutegemea mtu mmoja awafanyie kila kitu. Thread yako inaakisi tabia za watanzania wengi. Namna hii wataweka mpaka tozo ya sehemu nyeti! Waogopeni nini wakati wananchi wamelala na hawajui kudai haki zao?
Ninapoona neno kutetea maskini napata hasira ajabu! Hili jambazi, uaji lilimtetea nani? Lilitengeneza tabaka la kulitetea la wapumbavu ili likwapuwe na kupora vizuri. Ahsante Mungu kwa kuubeba ule mzimu!Kila mtu na nyakati zake, JPM hizi nyakati ngumu ndio saizi yake. Haogopi kutetea wananchi maskini kwa gharama yoyote. Najua bado mapema kugundua mengi lakini panapo uzima yapo mengi tutajua kwanini alifanya maamuzi magumu, mengine tayari tumepata majibu ikiwemo Covid 19!
Imagine tungeingia lock down tungekuwa na hali gani leo? Covid 19 imejifia kihuni tu, nyakati ngumu zinahitaji watu wagumu.
Mimi ni kichaaa mm ni jiwe jiwe kweli kweliinabidi ukapimwe afya ya akili,we sio mzima