Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ili likitimia Phillip mpango ni mtu na nusu ataweza anajua kupanga bajeti ya maendeleo halafu ni mkali hasiyependa wizi na kucheka na mafisadiMi natamani Mungu amchukue ili tuanze na upya.yaani huu mfumo wa maisha yawatanzania ubadilike,tunakoelekea kilo ya mchele itakuwa 5000
Namba moja. jifunze kuandika maneno rahisi kabisa ya kiswahili. 'Kwaiyo ni nini? Namba mbili: Sijasema nchi iendeshwe bila kodi, jifunze kusoma kwa ufahamu. Namba tatu: Una habari mtu akipokea mshahara serikali inakata kodi? Sasa kwanini anapotaka kumtumia kwa mfano mzazi wake fedha za matumizi akatwe tena ''tozo''? Namba nne: Kuna matumizi mengi ya serikali yanaweza kuondolewa na zikapatikana fedha badala ya kutoza watu kila wanapotuma fedha. Mfano ununuzi wa magari ya kifahari, utitiri wa viongozi wasio na umuhimu n.k.Kwaiyo unataka serikali isiweke Tozo? Nchi gani duniani inaendeshwa bila kodi? Labda nchi yenu takatifu israel huko
zipo tayar naona huna taarifa wewBado tozo za benk zinakuja
acha upunguani wewe. kama unalalamika mambo hayaendi hamia marekaniTuliwaambia, JPM ni Rais bora kuwahi kutokea. Taratibu tutaelewana.
Natofautiana kidogo na wewe katika suala zima la miradi kuwa ni ya kifahari.Naam, Mungu alikuwa na kusudi kubwa kumleta Magufuli na kumchukua kwa wakati aliyomchkua. Pamoja na kuwa Mungu alituamulia huo ugomvi, huo miradi yake mingi ya kifahari aliyoanzisha kwa wakati mmoja bila kujali uwezo wa nchi ndiyo iliyomfanya asimamishe maendeleo mengine mengi ikiwa ni pamoja na maslahi ya watumishi na kuelekeza sehemu kubwa ya mapato ya nchi kwenye miradi ya utukufu wake.
Ni hiyo miradi ya utukufu ndiyo inayoendelea kuitesa serikali ya SSH na kuifanya kuchagua fedheha iliyo nafuu: kati ya kuendelea kuwaumiza watumishi wote na kuwatuliza angalau wale wa kipato cha chini kabisa.
Hii ni kwa sababu ni ukatili mkubwa sana kuwaacha watumishi wa umma kwa miaka saba bila kuwarekebishia maslahi yao.
Uongozi unaojinasibu kuwa umechaguliwa na watu kamwe hauwezi kufanya hivyo. Magu hakuwa kiongozi wa kuchaguliwa bali ni mtu aliyewekwa na mfumo uliojimilikisha nchi yetu. Magufuli alithamini mapato ya serikali zaidi kuliko ustawi wa raia mmoja mmoja.
Hii ni kwa sababu alihitaji fedha za kutekeleza miradi yake ya kifahari kwa utukufu wake binafsi. Kwa hali hiyo tozo zote za sasa zingekuwepo tu na pengine zingekuwa nyingi, kubwa na mbaya zaidi. Mipango ya kuwapora Wamasai ardhi iliandaliwa wakati wake na bila shaka yoyote JWTZ ndiyo wangetekeleza kama ilivyokuwa kwenye korosho.
Watu makini wa nchi watakuwa wamebaini kuwa mpango wa kuhamisha Wamasai wa Ngorongoro kama ulivyobuniwa na Magu ulilenga kuwaondoa wote kwa nguvu badala ya hiari.
Ingawa haya ni maamuzi yaliyokwishafanyika Serikali ya sasa imeendelea nayo huku ikifanya marekebisho kila ilipobidi. Magu alitaka kuigeuza Ngorongoro kuwa Hifadhi ya Taifa ili aweze kuhodhi mapato yake yote.
Wakat wa jiwe ulikuwa unabinua kwa kudemka kumtukuza kwa kila jambo, sasaivi ndio mnajifanya wapingaji hodariNamba moja. jifunze kuandika maneno rahisi kabisa ya kiswahili. 'Kwaiyo ni nini? Namba mbili: Sijasema nchi iendeshwe bila kodi, jifunze kusoma kwa ufahamu. Namba tatu: Una habari mtu akipokea mshahara serikali inakata kodi? Sasa kwanini anapotaka kumtumia kwa mfano mzazi wake fedha za matumizi akatwe tena ''tozo''? Namba nne: Kuna matumizi mengi ya serikali yanaweza kuondolewa na zikapatikana fedha badala ya kutoza watu kila wanapotuma fedha. Mfano ununuzi wa magari ya kifahari, utitiri wa viongozi wasio na umuhimu n.k.
Mazee vipi? Hata kama bado wewe ni mgeni lakini fanya research kabla ya kuandika. Mimi nilikuwa namtukuza Magufuli? Pengine uko kwenye ndoto!Wakat wa jiwe ulikuwa unabinua kwa kudemka kumtukuza kwa kila jambo, sasaivi ndio mnajifanya wapingaji hodari
Acha ku-claimMazee vipi? Hata kama bado wewe ni mgeni lakini fanya research kabla ya kuandika. Mimi nilikuwa namtukuza Magufuli? Pengine uko kwenye ndoto!
1. Kamwe asingekubali Mita za LUKU kutumika kukata kodi za majengo. Hapa waathirika wengi ni wapangaji ambao wengi wao ni masikini na sio wamiliki wa hayo majengo/nyumba.
2. Kamwe asingekubali Tozo za miamala ya simu. Hili asingelikubali abadani asilani. Maana miamala tayari ilikuwa na VAT, sasa kuongeza tozo ni kama unamminya mwananchi mpaka aishiwe kabisa. Tena tozo zenyewe zinakatwa kwenye kutuma na kutoa😪.
View attachment 2313646
3. Kamwe asingekubali Gharama za maisha kupanda kiholela. Ndio hatukatai kuna mfumuko wa bei ila siyo katika kiwango hiki. Kuna bidhaa ambazo hazina scarcity lakini kwa sababu ya poor market control basi watu wameamua kujipandishia kiholela kwa visingizio visivyo na mashiko.
4. Kamwe asingekubali Watumishi kudanganywa kuhusu maslahi yao. Ijapokuwa yeye mwenyewe hakuwaongezea watumishi chochote kwa kipindi kirefu, lakini angalau alikuwa mkweli na ndio maana watumishi walimvumilia kwa kipindi kirefu.
5. Kamwe asingekubali Bei ya mafuta kuzidi kupanda wakati kwenye soko la dunia yameshuka. Hapa naamini kwa spirit aliyokuwa nayo ya kutetea wananchi basi angefanya lobbying yoyote ile ili kupunguza ukali wa bei ya mafuta. Nchi imezungukwa na bahari hii, tungeweza kuagiza mafuta hata Urusi kama angekuwepo mzee wetu maana hakuwa muoga kufanya chochote as long as ni for the benefit of his country.
Angalia hii chart hapa chini, utaona ni mwezi wa 3 sasa mafuta yanashuka bei wakati huku kwetu yanazidi kupaa bei. Hizo bar 3 nyekundu kwenye kibox zinaonesha mafuta yapo downtrend ila cha kushangaza sisi huku tupo uptrend.
View attachment 2313653
View attachment 2313654
6. Kamwe asingekubali bei za vifurushi vya simu viwe vinabadilika kiholela. Katika dunia ya sasa ambayo inaenda na sayansi na teknolojia, huduma ya internet ni moja ya basic need. Sasa unapowaminya watu wasiweze kupata internet unawaweka kwenye njaa ambayo ni sawa na njaa zingine. Bahati mbaya Waziri anayejusika na yeye anaonekana kama amebariki maana kwa mdomo wake amesema kabisa "Gharama zitaendelea kupanda".
View attachment 2313657
7. Asingekubali kamwe wamasai kuhamishwa kwa lazima kutoka kwenye ardhi yao. Japokuwa inawezekana kulikuwa na nia njema kwenye hili, lakini naamini mzee angelishughulikia vizuri zaidi kuliko ambavyo imefanyika sasa. Ukiona wamasai walikuwa wanagoma kuhama ujue kuna kitu hakikuwa sawa.
View attachment 2313663
8. Kamwe asingekubali Bei za pembejeo za kilimo kupanda kiholela. Moja ya eneo ambalo mzee alikuwa hapendi kabisa lichezewe basi ni kilimo. Kwenye utawala wake bei za vyakula zilikuwa nafuu sana na ndio maana raia hatukupata shida sana pamoja na hali mbaya ya uchumi iliyokuwepo. Lakini kwa sasa bei za pembejeo zimepaa, kitu ambacho kinapelekea hata bei za vyakula ziwe juu pia.
View attachment 2313673
View attachment 2313682
Ukilinganisha na haya yanayoendelea, mwamba alikosea kuwa mpole sana, alitumia lugha ya kuremba remba! Haya mang'ombe ukiyazungumzisha huwa hayaelewi, ni viboko na mbwa tu ndo wanajua njia ya kupita!Labda alichokosea JPM ni namna alivyojenga hoja za kuitangaza miradi yake, katika mawasiliano yake na umma ndio lilipokuwepo tatizo la uongozi wake wote, hakujaliwa lugha yenye ushawishi kwa watu aliokuwa akiwaongoza.
Alijawa kiburi na majivuno yetu ya kanda ya ziwa.
Nakukumbusha kuwa bei ya pembejeo (hasa mbolea) ilipanda wakati wa JPM baada ya kuzuia waagizaji binafsi wa mbolea. Aidha bei ya mbolea imepanda duniani kote1. Kamwe asingekubali Mita za LUKU kutumika kukata kodi za majengo. Hapa waathirika wengi ni wapangaji ambao wengi wao ni masikini na sio wamiliki wa hayo majengo/nyumba.
2. Kamwe asingekubali Tozo za miamala ya simu. Hili asingelikubali abadani asilani. Maana miamala tayari ilikuwa na VAT, sasa kuongeza tozo ni kama unamminya mwananchi mpaka aishiwe kabisa. Tena tozo zenyewe zinakatwa kwenye kutuma na kutoa😪.
View attachment 2313646
3. Kamwe asingekubali Gharama za maisha kupanda kiholela. Ndio hatukatai kuna mfumuko wa bei ila siyo katika kiwango hiki. Kuna bidhaa ambazo hazina scarcity lakini kwa sababu ya poor market control basi watu wameamua kujipandishia kiholela kwa visingizio visivyo na mashiko.
4. Kamwe asingekubali Watumishi kudanganywa kuhusu maslahi yao. Ijapokuwa yeye mwenyewe hakuwaongezea watumishi chochote kwa kipindi kirefu, lakini angalau alikuwa mkweli na ndio maana watumishi walimvumilia kwa kipindi kirefu.
5. Kamwe asingekubali Bei ya mafuta kuzidi kupanda wakati kwenye soko la dunia yameshuka. Hapa naamini kwa spirit aliyokuwa nayo ya kutetea wananchi basi angefanya lobbying yoyote ile ili kupunguza ukali wa bei ya mafuta. Nchi imezungukwa na bahari hii, tungeweza kuagiza mafuta hata Urusi kama angekuwepo mzee wetu maana hakuwa muoga kufanya chochote as long as ni for the benefit of his country.
Angalia hii chart hapa chini, utaona ni mwezi wa 3 sasa mafuta yanashuka bei wakati huku kwetu yanazidi kupaa bei. Hizo bar 3 nyekundu kwenye kibox zinaonesha mafuta yapo downtrend ila cha kushangaza sisi huku tupo uptrend.
View attachment 2313653
View attachment 2313654
6. Kamwe asingekubali bei za vifurushi vya simu viwe vinabadilika kiholela. Katika dunia ya sasa ambayo inaenda na sayansi na teknolojia, huduma ya internet ni moja ya basic need. Sasa unapowaminya watu wasiweze kupata internet unawaweka kwenye njaa ambayo ni sawa na njaa zingine. Bahati mbaya Waziri anayejusika na yeye anaonekana kama amebariki maana kwa mdomo wake amesema kabisa "Gharama zitaendelea kupanda".
View attachment 2313657
7. Asingekubali kamwe wamasai kuhamishwa kwa lazima kutoka kwenye ardhi yao. Japokuwa inawezekana kulikuwa na nia njema kwenye hili, lakini naamini mzee angelishughulikia vizuri zaidi kuliko ambavyo imefanyika sasa. Ukiona wamasai walikuwa wanagoma kuhama ujue kuna kitu hakikuwa sawa.
View attachment 2313663
8. Kamwe asingekubali Bei za pembejeo za kilimo kupanda kiholela. Moja ya eneo ambalo mzee alikuwa hapendi kabisa lichezewe basi ni kilimo. Kwenye utawala wake bei za vyakula zilikuwa nafuu sana na ndio maana raia hatukupata shida sana pamoja na hali mbaya ya uchumi iliyokuwepo. Lakini kwa sasa bei za pembejeo zimepaa, kitu ambacho kinapelekea hata bei za vyakula ziwe juu pia.
View attachment 2313673
View attachment 2313682
Alifany vile kwa manufaa yako we mtanzania masikini, Alifanya vile kwa matajir wezi na mafisadi waliokubuu we know babako Ni miongoni bhas aliguswa na changamoto, Pia alifany vile ku deduct gap between the rich and poor people , especially those corrupt politicians also those that conducted flourished illegal business as a residue of tax money from the natives, hereby he got traumatized with patriotic perceptionCha muhimu ni kua KAFA
Yule muuaji na mbaguzi aliyeharibu uchumi wa Tanzania, kupora wafanyabishara fedha, kupora wakulima mazao, kujaza bungeni vilaza, kukopa mikopo mikubwa kwa pupa, uanzishwaji wa miradi mfululizo mingine isiyo na faida
Mbaguzi, laghai, roho mbaya iliyojawa na kiburi...ataketee milele
Hata mafuta yakifika 5000 ni afadhali kuliko kutawaliwa na yule mpuuzi aliyekuwa akiteua majambazi, na yeye angekuwepo maisha ndio yangekuwa balaa maana angelazimisha jeshi kuingilia biashara ya mafuta kama alivyofanya kwenye korosho na fedha za kigeni alivyo na akili fupi
Kachunguze utajiri wa watu kama Makonda, Mnyeti, Sabaya na wengineAlifany vile kwa manufaa yako we mtanzania masikini, Alifanya vile kwa matajir wezi na mafisadi waliokubuu we know babako Ni miongoni bhas aliguswa na changamoto, Pia alifany vile ku deduct gap between the rich and poor people , especially those corrupt politicians also those that conducted flourished illegal business as a residue of tax money from the natives, hereby he got traumatized with patriotic perception
Sasa hii case yk Ni tofauti hao unaowataj makonda,sabaya, Ni wanufaika wa utawala wake, yeye Ali deal na mafisadi ya serikali zilizopita maan yalijilimbikiza Mali sanaKachunguze utajiri wa watu kama Makonda, Mnyeti, Sabaya na wengine
Na alipokuwa akiwajengea akina Kikwete Mwinyi na Mkapa mahekalu na kuwateua wake zao na watoto wao kwenye vyeo vya kisiasa nao ni kupunguza gap la masikini na tajiri?
Sasa kama alifuga mafisadi kwenye utawala wake utasemaje alifunga mafisadi? Mafisadi gani ambao Magufuli aliwafunga? Kikwete aliwafunga Mramba na Yona, yeye alimtia mwanasiasa kigogo gani hatiani akafungwaSasa hii case yk Ni tofauti hao unaowataj makonda,sabaya, Ni wanufaika wa utawala wake, yeye Ali deal na mafisadi ya serikali zilizopita maan yalijilimbikiza Mali sana
SanaaaKuhusu kupanda gharama za bando chuma angeshangilia sana maana aliwahi kuzima kabisa mitandao mpaka tukaokolewa na VPN
Ni kweli mkuu maana angegawa mafuta bure,vyuma vilivyokaza angeleta greese,machinga aliokuwa anawalipisha 20,000 angeacha na salary angeongeza na mikopo angeacha Kukopa maana Nchi hii nintajiri na tunajenga kwa pesa zetu.
Hizo ni kejeli tu. Watu kama hao ndio namba moja kuomba vya bure...Complimentary of'... kamwe asingekubali masikini wa nchi hii like Rostam, GSM, Mo, etc. walipishwe vitambulisho vya 20,000 kufanya biashara zao pembezoni na katikati ya barabara kwani wanajitafutia mlo wao na familia zao.
Una nung'unika na kifo chake, Pole.Cha muhimu ni kua KAFA
Yule muuaji na mbaguzi aliyeharibu uchumi wa Tanzania
Hizo juu ni propaganda ya hali ya juu, pamoja na uasi..., kupora wafanyabishara fedha, kupora wakulima mazao, kujaza bungeni vilaza, kukopa mikopo mikubwa kwa pupa, uanzishwaji wa miradi mfululizo mingine isiyo na faida
...hapo ni kama mabeberu vile. Bila uroho mbaya hawakuelewi, wao(mabeberu) hiyo ni hulka ya kawaida tu...Mbaguzi, laghai, roho mbaya..."
Duh. Haya yote? Alikuwa halali huyu🤓Hata mafuta yakifika 5000 ni afadhali kuliko kutawaliwa na yule mpuuzi aliyekuwa akiteua majambazi, na yeye angekuwepo maisha ndio yangekuwa balaa maana angelazimisha jeshi kuingilia biashara ya mafuta kama alivyofanya kwenye korosho na fedha za kigeni alivyo na akili fupi
...hao walikuwa "wamesha Rakebisha" hao ndio walikuwa mstari wambele kuomba rushwa, hao ndio wenye waliowaajiri..."wamachinga" hawakuwa na njaa!Naam, Mungu alikuwa na kusudi kubwa kumleta Magufuli na kumchukua kwa wakati aliyomchkua. Pamoja na kuwa Mungu alituamulia huo ugomvi, huo miradi yake mingi ya kifahari aliyoanzisha kwa wakati mmoja bila kujali uwezo wa nchi ndiyo iliyomfanya asimamishe maendeleo mengine mengi ikiwa ni pamoja na maslahi ya watumishi na kuelekeza sehemu kubwa ya mapato ya nchi kwenye miradi ya utukufu wake.
Ni hiyo miradi ya utukufu ndiyo inayoendelea kuitesa serikali ya SSH na kuifanya kuchagua fedheha iliyo nafuu: kati ya kuendelea kuwaumiza watumishi wote na kuwatuliza angalau wale wa kipato cha chini kabisa.
Hii ni kwa sababu ni ukatili mkubwa sana kuwaacha watumishi wa umma kwa miaka saba bila kuwarekebishia maslahi yao.
Hapa tunaweza kufikia kukubalina, ni kweli hata hivyo hazikuwa chaguzi zote?Uongozi unaojinasibu kuwa umechaguliwa na watu kamwe hauwezi kufanya hivyo.
Kwa mbinu alizokuwa amebakia nazo, ni kuhakikisha Serikali ina mapato kukabiliana na "vita ya uchumi" aliyekuwa akipigana. Ni jukumu la kila Mtanzania mwenye uwezo wa kufanya kazi, na afanye. Kama Raisi, Ustawi wa nchi,hua linachukua kipaumbele mkubwa kuliko mmoja, mmoja...kama vile Mmasai?Magu hakuwa kiongozi wa kuchaguliwa bali ni mtu aliyewekwa na mfumo uliojimilikisha nchi yetu. Magufuli alithamini mapato ya serikali zaidi kuliko ustawi wa raia mmoja mmoja.
Taarifa?Hii ni kwa sababu alihitaji fedha za kutekeleza miradi yake ya kifahari kwa utukufu wake binafsi. Kwa hali hiyo tozo zote za sasa zingekuwepo tu na pengine zingekuwa nyingi, kubwa na mbaya zaidi. Mipango ya kuwapora Wamasai ardhi iliandaliwa wakati wake na bila shaka yoyote JWTZ ndiyo wangetekeleza kama ilivyokuwa kwenye korosho.
....hilo halimeguki kutoka kwa awamu hii, halimeguki CCM hata ikipindishwa vipi!Watu makini wa nchi watakuwa wamebaini kuwa mpango wa kuhamisha Wamasai wa Ngorongoro kama ulivyobuniwa na Magu ulilenga kuwaondoa wote kwa nguvu badala ya hiari.
Bila taarifa ya uhakika, utakuwa unakisikisia, au una laghai laghai ili kupindisha ukweli wa nini kinachoendelea. Kitaeleweka.Ingawa haya ni maamuzi yaliyokwishafanyika Serikali ya sasa imeendelea nayo huku ikifanya marekebisho kila ilipobidi. Magu alitaka kuigeuza Ngorongoro kuwa Hifadhi ya Taifa ili aweze kuhodhi mapato yake yote.