Angekuwepo Hayati Rais Magufuli Kamwe Asingekubali Haya Yatokee

Ni kweli mkuu maana angegawa mafuta bure,vyuma vilivyokaza angeleta greese,machinga aliokuwa anawalipisha 20,000 angeacha na salary angeongeza na mikopo angeacha Kukopa maana Nchi hii nintajiri na tunajenga kwa pesa zetu.
Yaani jiwe haya mazuzu aliyaharibu akili kweli !
Wewe mbona una ota unabaduliwa hatusemi
Angalia na hili tahila la jiwe aliloliacha
 
Hili ndilo tatizo kubwa la Tanzania. Watu milioni 60 wanakuwa kama nyumbu na kutegemea mtu mmoja awafanyie kila kitu. Thread yako inaakisi tabia za watanzania wengi. Namna hii wataweka mpaka tozo ya sehemu nyeti! Waogopeni nini wakati wananchi wamelala na hawajui kudai haki zao?
 
Mi natamani Mungu amchukue ili tuanze na upya.yaani huu mfumo wa maisha yawatanzania ubadilike,tunakoelekea kilo ya mchele itakuwa 5000
Ni vizuri sana bei zizidi kupanda ili wananchi waamke kutoka kwenye usingizi wa pono waliolala.
 
Yaani jiwe haya mazuzu aliyaharibu akili kweli !

Angalia na hili tahila la jiwe aliloliacha
Cheki hichi kijambio cha sa100 [emoji115]...Baba yako aliuza ng'ombe kukusomesha kumbe kauza ng'ombe kusomesha ng'ombe.
CCM NI [emoji117][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]
 
Cheki hichi kijambio cha sa100 [emoji115]...Baba yako aliuza ng'ombe kukusomesha kumbe kauza ng'ombe kusomesha ng'ombe.
CCM NI [emoji117][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]
inabidi ukapimwe afya ya akili,we sio mzima
 
Kwaiyo unataka serikali isiweke Tozo? Nchi gani duniani inaendeshwa bila kodi? Labda nchi yenu takatifu israel huko
 
Ninapoona neno kutetea maskini napata hasira ajabu! Hili jambazi, uaji lilimtetea nani? Lilitengeneza tabaka la kulitetea la wapumbavu ili likwapuwe na kupora vizuri. Ahsante Mungu kwa kuubeba ule mzimu!
 
Ukiangalia Bei za ream za karatasi nje mpaka zinafika hapa na Bei inayouzwa ni tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…