Halafu mie nilijuaga angekuja kuwa muimbaji mkubwa!She has been carrying herself with so much accolades. I adore her kwa kweli
(Nilitaka nikuulizie hapo juu kwa Maki, nikawaza sijui unatumia ID gani sasa hivi, nikaishia kucheka tu)
Amesoma Ashira na Moro secNaskia hiz mambo Rose yuko vizur toka yuko secondari hukoo msalato(kama sijakosea) alikua ni mtu wa dini sana mambo ya ukwata alikua wale madada fire kwenye hiz habar.. sishangai kuwa yeye ndio mwenye hii biashara
OkayHapana, 40 Rose hajafika.
Yes Nadhan huko huko Morogoro.Amesoma Ashira na Moro sec
Bora tu anahubiri, tunakula nondo.Halafu mie nilijuaga angekuja kuwabmuimbaji mkubwa!
Hahahaaa!! Hapa sasa nafikiri nitatulia kwa muda hadi waniruhusu tena kubadili.
Yeah Msalato ipo DodomaYes Nadhan huko huko Morogoro.
Thanks for your rectification (hiv msalato haiko moro eeh???)
[emoji28][emoji28] ni kweli unachosema huyo angel angekuwa na ndoa ya rc au KKkt asingeweza funga hizo nyingineNdoa za mabandani hizo hakuna ndoa humo,Masanja afungishe ndoa uiite ndoa?au hao kina kuhani sijui mwamposa?
Mimi nikisikia mtu anasema anafunga ndoa huko kwenye mabanda ya mabati na kwa wapiga wapiga kelele naona bora hata angeenda kufungia kwa mkuu wa mkoa au wilaya ndiyo atakuwa yuko serious na anachokifanya.
ndio maana nasema hujui nguvu iliyomo kwenye wokovu, yaani umuombe Mungu mke, alafu akosee akuongoze kuoa mtego? Huo ni utani wa hali ya juu, kumhusu Mungu..NIpo kwenye wokovu toka 2015
Sometimes unaweza ukawa deep kwenye wokovu ila ukakosea mahesabu kwenye kuoa au kuolewa so ina maanisha usiachane nae?
Mungu anasema atakupa wa kufanana nawe,huoni kwamba ukikosa umakini shetani anaweza akakupa wa kwake ili akutoe kwenye kusudi la Mungu?kipi bora hapo ubakie kutimiza makusudi ya shetani au utoke kwenye hiyo ndoa ukafanye mapenzi ya Mungu?
Mungu wetu amejaa rehema na fadhili na huruma tele,so he gives second chances
Kumbe ndio maana ana akili sanaAmesoma Ashira na Moro sec
🤗🤗🤗🤗🤗. Been a while; naamini Mungu anazidi kukuimarishaoh love!
This is felf kumoooyo kabisa!
Nimesikia rahaaa.
Thank u dear , goes to yu too mummie!
Kwa kweli ni bonge la kichwaaaaKumbe ndio maana ana akili sana
Alikuwa anapiga neno hadi unahisi upako, akiimba saasaaa😍😍😍Bora tu anahubiri, tunakula nondo.
Kwa kweli utulie tu
Yes.Amesoma Ashira na Moro sec
Sitaki kucheka leoAlikuwa anapiga neno hadi unahisi upako, akiimba saasaaa😍😍😍
Mungu amtunze.
Mie mtulivu daima🤣🤣
Muhimu kwenda nao mpaka mwishoUkiona Jf uzi umefika page 300 na kuendelea ujue humo ndani Kuna mambo mengi Sana [emoji23]
She must be possesed with evil entitiesYule alianza kwenye bongo flavour alivoona haimtoi akakimbilia kwenye Gospel kwenye band ya Glorious Celebration. Huko kanisani akawangusha watumishi wa Bwana akina Nick Shaboka mpaka kufukuzwa Calvary Assemblies of God. Huyo dada ni sumu sijui mr Sakafu aliwaza nini.
Kaka biashara jamani?Naskia hiz mambo Rose yuko vizur toka yuko secondari hukoo msalato(kama sijakosea) alikua ni mtu wa dini sana mambo ya ukwata alikua wale madada fire kwenye hiz habar.. sishangai kuwa yeye ndio mwenye hii biashara
Jmall tukutane jpili tukawapige wachinaTukacheze kamari mkuu
Nishtue ukiwa Unaenda
Kwa usafi na kupendeza nampa A+++"Dada Rose", ndivyo tulivyokuwa tunamuita hadi waliompita umri walimuita hivyo, kwasababu ya jinsi alivyokuwa anajiweka. Mstaarabu, anampenda Yesu, kichwa balaa maana alikuwa anakimbiza darasani, mshauri mzuri, boonge la muimbaji, halafu sasa ni msafiiiiii anajipenda hadi sio poa.