Angel Benard aolewa mara ya pili

Angel Benard aolewa mara ya pili

Kile kinick hakiendani nae kabisa
emoji848.png
Una ugomvi gani na bishop wetu?
 
Nataka nikujibu vibaya ila "Kambi ya fisi" ni jina la mtaa ninaouheshimu sana huko Arusha. Hilo jina ninalotumia ukilisoma vizuri ni halina jinsia. Utaelewa maana yake 2025 tuombe uzima. Jitahidi sana usiwe una-comment wakati unapata mataputapu.
Kambi ya fisi mtaa umejaa wahuni ule, ngarenaro yote imeoza
 
Sawa ni maisha yake personal.
Ila anamatatizo ambayo Mimi na wewe hatuyajui.
Ukitoa huyo mume mpya tayari kashazaa na wanaume watatu tofauti.
Waliomkimbia waliona nini?
Ni kioo Cha jamii hivyo criticism zitakuwepo tu.
Licha ya kutoa "album" ya pili, ana singles tatu toka kwa producers watatu tofauti.

Huyu anapenda kubadili producers sio poa.
 
 
Back
Top Bottom