Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Sasa mkichaguana wazuri tu sie wabaya tutaoa kina nani?Kwa usafi na kupendeza nampa A+++
Dada mzuri sana yule
Kile kinick hakiendani nae kabisa[emoji848]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mkichaguana wazuri tu sie wabaya tutaoa kina nani?Kwa usafi na kupendeza nampa A+++
Dada mzuri sana yule
Kile kinick hakiendani nae kabisa[emoji848]
Daah hatari 🙌Licha ya kutoa "album" ya pili, ana singles tatu toka kwa producers watatu tofauti.
Huyu anapenda kubadili producers sio poa.
Amon ni muha ila kaoa mdada wa kichaga, bila shaka kahama mazima uhani na kujikita uchagani, nampongeza kwa hilo.Amon nae kaoa juzi juzi ,Amon yupo Tanzania .
Hapana, ni Rose ShabokaSamahani hivi anaeongelewa hapa ni nani ni rose mhando ama🤔
hata Martha Baraka alishaachana na mumewe Baraka, na kwa sasa hatumui tena jina la Martha baraka, anajiita Madame Martha, na ameolewa na mchungaji na wana kanisaNi martha mwaipaja sio Martha baraka
Na Martha ni mchungaji wa hilo kanisa la mumewe wa pili?anajiita Madame Martha, na ameolewa na mchungaji na wana kanisa
wana huduma ya pamojaNa Martha ni mchungaji wa hilo kanisa la mumewe wa pili?
Labda hujaelewa tu kama suluhisho la mgogoro wa ndoa halijapatikana mnatengana tu ila wewe huruhusiwi kuoa na mwenzio haruhusiwi kuolewa hadi mmoja wenu afe.Eti mkristu ukioa au kuolewa unapaswa uishi na mwenza mwenye shida no matter what!
Mimi nikizinguana naamuacha.
Muda..almost 3 yrsChristina Shusho yupo single kwani? 😀
Nimecheka na huu mfano wako😆🙌Hahahah mimi huyo? 🤣 Hakuna mahali ataenda Tz ndio her destiny yani kutoboa atoboe nini? Yeye ni wa hapa hapa tu. Huko labda niende mimi kwanza.
Ila nikuulize tu kati ya S2keezy na Venance Mabeyo wewe utamchagua nani!? 🤣🤣🤣
Halafu Cha kushangaza Sasa hivi ni mchungaji. Ni tatizo kwa kweli.upendo kilahiro naye si aliolewa huko marekani? hawa wanawake ni hatari sana
Rose Mhando ni muimbaji bora wa muda wote ila kwa leo tupo na Rose Shaboka ambaye ni pisi kali sana kwenye biashara ya kanisa.Samahani hivi anaeongelewa hapa ni nani ni rose mhando ama🤔
Siku ile aliposema anajuta kuolewa ndani ya umri mdogo nilijua hakuna ndoa hapa.Muda..almost 3 yrs
Yupo Dar.Na Amon yupo USA?
Yesu aliwaambia masadukayo kuwa watu wengi wanapenda kwenda mbinguni lakini mnawazuia. So hao akina Nick Shaboka wanawazuia washirika wasiione nuru kwa uchafu wao.Inakuwaje malaya kuwachunga wasio malaya?
I think atawafundisha tu malaya
Ameniboa Sana. Nadhani hata huyu mme mpya ameangalia fursa tu kwake.Huyu angel ni limbukeni flani na mshamba hakumpenda alitaka amtumie kumpeleka huko marekani. Ila mwanaume ana moyo na huyo aliyemuoa yatamshinda mtu amezaa na wanaume watatu tofauti yeye ndio shida
Makosa yapo kwa wazuiaji wa nuru au waliozuiwa ?Nick Shaboka wanawazuia washirika wasiione nuru kwa uchafu wao.