Angel Benard aolewa mara ya pili

Angel Benard aolewa mara ya pili

She has been carrying herself with so much accolades. I adore her kwa kweli

(Nilitaka nikuulizie hapo juu kwa Maki, nikawaza sijui unatumia ID gani sasa hivi, nikaishia kucheka tu)
Halafu mie nilijuaga angekuja kuwa muimbaji mkubwa!

Hahahaaa!! Hapa sasa nafikiri nitatulia kwa muda hadi waniruhusu tena kubadili.
 
Ndoa za mabandani hizo hakuna ndoa humo,Masanja afungishe ndoa uiite ndoa?au hao kina kuhani sijui mwamposa?

Mimi nikisikia mtu anasema anafunga ndoa huko kwenye mabanda ya mabati na kwa wapiga wapiga kelele naona bora hata angeenda kufungia kwa mkuu wa mkoa au wilaya ndiyo atakuwa yuko serious na anachokifanya.
[emoji28][emoji28] ni kweli unachosema huyo angel angekuwa na ndoa ya rc au KKkt asingeweza funga hizo nyingine
 
NIpo kwenye wokovu toka 2015
Sometimes unaweza ukawa deep kwenye wokovu ila ukakosea mahesabu kwenye kuoa au kuolewa so ina maanisha usiachane nae?
Mungu anasema atakupa wa kufanana nawe,huoni kwamba ukikosa umakini shetani anaweza akakupa wa kwake ili akutoe kwenye kusudi la Mungu?kipi bora hapo ubakie kutimiza makusudi ya shetani au utoke kwenye hiyo ndoa ukafanye mapenzi ya Mungu?
Mungu wetu amejaa rehema na fadhili na huruma tele,so he gives second chances
ndio maana nasema hujui nguvu iliyomo kwenye wokovu, yaani umuombe Mungu mke, alafu akosee akuongoze kuoa mtego? Huo ni utani wa hali ya juu, kumhusu Mungu..
 
Yule alianza kwenye bongo flavour alivoona haimtoi akakimbilia kwenye Gospel kwenye band ya Glorious Celebration. Huko kanisani akawangusha watumishi wa Bwana akina Nick Shaboka mpaka kufukuzwa Calvary Assemblies of God. Huyo dada ni sumu sijui mr Sakafu aliwaza nini.
She must be possesed with evil entities
Succubus
 
"Dada Rose", ndivyo tulivyokuwa tunamuita hadi waliompita umri walimuita hivyo, kwasababu ya jinsi alivyokuwa anajiweka. Mstaarabu, anampenda Yesu, kichwa balaa maana alikuwa anakimbiza darasani, mshauri mzuri, boonge la muimbaji, halafu sasa ni msafiiiiii anajipenda hadi sio poa.
Kwa usafi na kupendeza nampa A+++

Dada mzuri sana yule

Kile kinick hakiendani nae kabisa[emoji848]
 
Back
Top Bottom