Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Una ugomvi gani na bishop wetu?Kile kinick hakiendani nae kabisa
Binamu akeeeeeeeeeeee. Miss you too darlin
Sasa uchawi umeingiaje hapa mkuu?Acha uchawii..Kwan Huyo Nick hana Dushe?
Halaf inaweza isiwe mapenz ..ni tamaa za maisha ndio zinamuweka huyo mama kwa huyo kijana la sivyo angetafuta hao size yake
Kambi ya fisi mtaa umejaa wahuni ule, ngarenaro yote imeozaNataka nikujibu vibaya ila "Kambi ya fisi" ni jina la mtaa ninaouheshimu sana huko Arusha. Hilo jina ninalotumia ukilisoma vizuri ni halina jinsia. Utaelewa maana yake 2025 tuombe uzima. Jitahidi sana usiwe una-comment wakati unapata mataputapu.
Kumbe waijua hiyo kambi 😂😂Kambi ya fisi mtaa umejaa wahuni ule, ngarenaro yote imeoza
Kuna shujaa wangu mmoja alianzia maisha pale.Kambi ya fisi mtaa umejaa wahuni ule, ngarenaro yote imeoza
Anaitwa nani?Kuna shujaa wangu mmoja alianzia maisha pale.
[emoji28][emoji28][emoji28] uko sahihiShe must possesed with evil entities
Succubus
[emoji28][emoji28][emoji28] ukweli huuKwa usafi na kupendeza nampa A+++
Dada mzuri sana yule
Kile kinick hakiendani nae kabisa[emoji848]
[emoji28][emoji28]nani huwapa hivi vyeo vya kibishop?Una ugomvi gani na bishop wetu?
Nabii mkuu Geor Davie[emoji28][emoji28]nani huwapa hivi vyeo vya kibishop?
Make za kwenye video zinadanganya sanHabari.
Msanii ANGEL BERNARD ameolewa kwa Mara ya pili.
Mara ya kwanza aliolewa na producer wa nyimbo za injili Godsave Sakafu.
Kulikoni wanamziki wa nyimbo za injili wa kike.
Huyu hapa
JF hatutajani majina hadharaniAnaitwa nani?
Licha ya kutoa "album" ya pili, ana singles tatu toka kwa producers watatu tofauti.Sawa ni maisha yake personal.
Ila anamatatizo ambayo Mimi na wewe hatuyajui.
Ukitoa huyo mume mpya tayari kashazaa na wanaume watatu tofauti.
Waliomkimbia waliona nini?
Ni kioo Cha jamii hivyo criticism zitakuwepo tu.
Ni martha mwaipaja sio Martha barakakwa hiyo anaunga tela kwa Martha Baraka, who is the next?