reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
Hana pa kunipata Mimi so hawezi nichukua Mimi mshamba Fulani hiviiiSasa ulitaka akuchukue wewe jamani?[emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hana pa kunipata Mimi so hawezi nichukua Mimi mshamba Fulani hiviiiSasa ulitaka akuchukue wewe jamani?[emoji23][emoji23]
Hakuna hapa story tuKwani akiliwa kuna tatizo ?...
Na wewe uache uchafu uige usafi sasa. Siyo una chupi 4 tu, ongeza ziwe 30"Dada Rose", ndivyo tulivyokuwa tunamuita hadi waliompita umri walimuita hivyo, kwasababu ya jinsi alivyokuwa anajiweka. Mstaarabu, anampenda Yesu, kichwa balaa maana alikuwa anakimbiza darasani, mshauri mzuri, boonge la muimbaji, halafu sasa ni msafiiiiii anajipenda hadi sio poa.
Ndoa ni moja tu .Bible inaruhusu ndoa ngapi? Vifungu vipi hutumika?
Kiroho hakuna,sema kibinadamu ndo hivyo .Watu wana tamaa,naona Upendo aliiona fursa USA akaona Amon hawezi mfikisha kule yeye anataka afike kimafanikio.Kilahiro alitisha aisee[emoji23]
Alienda nje,mumewe anajua ameenda kumwimbia Bwana kumbe mwenzie anaolewa.
Maswali ninayojiuliza ni mengi,likiwemo hili;-
Ni dhehebu gani linaruhusu mtu kufunga ndoa mara 2?
I missed you my friend glad to see.Kilahiro alitisha aisee[emoji23]
Alienda nje,mumewe anajua ameenda kumwimbia Bwana kumbe mwenzie anaolewa.
Maswali ninayojiuliza ni mengi,likiwemo hili;-
Ni dhehebu gani linaruhusu mtu kufunga ndoa mara 2?
Kumbe kuna Mtu anaabudu jiwe ,mti na anapona piaHawaambiliki. Ukipanda magari yanayotoka kawe siku ya jumapili utacheka. Kila mtu anachupa au carton ya maji ya Canadian. Wenyewe wanaamini kabisa wajinywa Yale maji changamoto zao zina isha
Wewe unaona anaendana na nani?Kwa usafi na kupendeza nampa A+++
Dada mzuri sana yule
Kile kinick hakiendani nae kabisa[emoji848]
Pia hawataki kazi wanaoamini mafuta na maji yatawapa miujiza ya helaHawaambiliki. Ukipanda magari yanayotoka kawe siku ya jumapili utacheka. Kila mtu anachupa au carton ya maji ya Canadian. Wenyewe wanaamini kabisa wajinywa Yale maji changamoto zao zina isha
Sadaka zinajenga mahoteli huko. Wao wanakauka tu.[emoji1][emoji1][emoji1][emoji16][emoji16][emoji16]acha wakajimalize na sadaka zao
Wanatetea upuuzi kabisaaaa
Yaani hii nchi Ina vitukoo
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Anna dear ,hayo mambo ya zamani,nowdays Watu wanaoa na kuolewa kanisani mara mbili mbiliKilahiro alitisha aisee[emoji23]
Alienda nje,mumewe anajua ameenda kumwimbia Bwana kumbe mwenzie anaolewa.
Maswali ninayojiuliza ni mengi,likiwemo hili;-
Ni dhehebu gani linaruhusu mtu kufunga ndoa mara 2?
Acha wivu. Kama hakuna huduma why watu wajibiwe maombi yao? Watu wamepata kazi kupitia pale na bado wanafanikiwa.. what are u talking about?Hakuna huduma pale ni biashara tu ndio maana ameng'ang'ana nae coz ni perfect business partner
Na huu uchafu huu wanajificha eti wasisemwe kisa ni watumishiNakumbuka mchungaji alienifungisha ndoa alituasa sana kwenye ibada kuwa tuiache mizigo na vifurushi (kutoka nje ya ndoa) lakini baada ya muda alisimamishwa kazi kwa kugombana na mchungaji mwenzake kisa kstibu wa usharika kuhamishwa na mchungaji alikua anamla mpka kampa mimba.
Imagine mtu wa hivyo alafu anakusisitiza usizini acha dhambi kumbe yeye ndio namba moja.
Kwengine muinjilisti anawatoto watano lakini kazaa na katibu wa vijana wa usharika nq walivyo wangese ww ukifanya dhambi wanasema urudi kundini ila wao wakifanya hawarudi kundini mambo ya aibu sana
Ila wapo wenzako ambao hawakujutia mida yao. Kibaya kwako kizuri kwa wengine tena wengiYupo sahihi nimewahi kuhudhuria kongamano lao pale CCC upanga nilijutia muda wangu
Kwamba shusho ni pastorTatizo watu ni wanafiki, wanaujua ukweli lakini wanaukataa. Shusho pale kanisani kwake manzese ni full maigizo, akihubiri unaona anaigiza tu.
Wanawake kwa kuoneana wivu. Unaumia wewe hujaolewa mwenzio mara ya pili. Usijali tulia tu.Habari,
Msanii Angel Bernard ameolewa kwa mara ya pili.
Mara ya kwanza aliolewa na Producer wa Nyimbo za Injili Godsave Sakafu.
Kulikoni wanamuziki wa nyimbo za injili wa kike?
Huyu hapa;
Hao akina Mabeyo siyo washamba wa wanawake kaka. Ukiwa na hela automatic tu unakuwa sio mshamba... wamewaoa wake zao waliosota naoBwana sakafu ni mpiga vinanda studio ila yule mwamba mpya ni Sergeant jeshini [emoji1787]!
Kwa akili za hawa dada zetu siwezi kulaumu sana maana hakuna mtu atakomaa na S2keezy halafu amuache Venance Mabeyo mtu wa serikalini anaetembea na escort kibabe na pesa ya uhakika.
Mtumishi wenu atawaunga kwenye grid ya taifaSasa ulitaka akuchukue wewe jamani?[emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji2][emoji2][emoji2]yaani afu wanakuambia mtumishi WA Mungu lazima awe na mafanikio ...kaaahhSadaka zinajenga mahoteli huko. Wao wanakauka tu.
Ndio maana Mackenzie akaona awashindishe njaa wafe tu. Watu gani hawazinduki?
[emoji28][emoji28][emoji28] wameitana watawashambulia mnasema mungu wao loh.Disco limeshaingia mmasai... Naona wapendwa wameanza kujitokeza kwenye uzi kujibu mapigo .[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]