Angel Benard aolewa mara ya pili

Na wewe uache uchafu uige usafi sasa. Siyo una chupi 4 tu, ongeza ziwe 30
 
Bible inaruhusu ndoa ngapi? Vifungu vipi hutumika?
Ndoa ni moja tu .
Kilahiro alitisha aisee[emoji23]
Alienda nje,mumewe anajua ameenda kumwimbia Bwana kumbe mwenzie anaolewa.

Maswali ninayojiuliza ni mengi,likiwemo hili;-
Ni dhehebu gani linaruhusu mtu kufunga ndoa mara 2?
Kiroho hakuna,sema kibinadamu ndo hivyo .Watu wana tamaa,naona Upendo aliiona fursa USA akaona Amon hawezi mfikisha kule yeye anataka afike kimafanikio.
 
Hawaambiliki. Ukipanda magari yanayotoka kawe siku ya jumapili utacheka. Kila mtu anachupa au carton ya maji ya Canadian. Wenyewe wanaamini kabisa wajinywa Yale maji changamoto zao zina isha
Kumbe kuna Mtu anaabudu jiwe ,mti na anapona pia
Imani popote pale unapoamini mbona unapata tiba
Yaani Mimi Toka nilivoskia hizo mambo zake nachekaga tu nikimuona Kwa video

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji16][emoji16][emoji16]acha wakajimalize na sadaka zao
Wanatetea upuuzi kabisaaaa
Yaani hii nchi Ina vitukoo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sadaka zinajenga mahoteli huko. Wao wanakauka tu.
Ndio maana Mackenzie akaona awashindishe njaa wafe tu. Watu gani hawazinduki?
 
Kilahiro alitisha aisee[emoji23]
Alienda nje,mumewe anajua ameenda kumwimbia Bwana kumbe mwenzie anaolewa.

Maswali ninayojiuliza ni mengi,likiwemo hili;-
Ni dhehebu gani linaruhusu mtu kufunga ndoa mara 2?
Anna dear ,hayo mambo ya zamani,nowdays Watu wanaoa na kuolewa kanisani mara mbili mbili
Mfano Joyce kiria ana ndoa ya RC na Pentecostal na zote chalii
Dj Nelly ana ndoa mbili zote RC
Mwanzo DJ Nelly mwanzo alimuoa Joyce pale St.Peters wakashindwana dada akaolewa Tena hvyo Nely nao kaoa Tena

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna huduma pale ni biashara tu ndio maana ameng'ang'ana nae coz ni perfect business partner
Acha wivu. Kama hakuna huduma why watu wajibiwe maombi yao? Watu wamepata kazi kupitia pale na bado wanafanikiwa.. what are u talking about?
 
Na huu uchafu huu wanajificha eti wasisemwe kisa ni watumishi
 
Hao akina Mabeyo siyo washamba wa wanawake kaka. Ukiwa na hela automatic tu unakuwa sio mshamba... wamewaoa wake zao waliosota nao
 
Sadaka zinajenga mahoteli huko. Wao wanakauka tu.
Ndio maana Mackenzie akaona awashindishe njaa wafe tu. Watu gani hawazinduki?
[emoji16][emoji2][emoji2][emoji2]yaani afu wanakuambia mtumishi WA Mungu lazima awe na mafanikio ...kaaahh
Hahahaha
Mackenzie nadhani Ile ilikua kafara yake ile

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…