Angel Benard aolewa mara ya pili

Angel Benard aolewa mara ya pili

Ndoa za mabandani hizo hakuna ndoa humo,Masanja afungishe ndoa uiite ndoa?au hao kina kuhani sijui mwamposa?

Mimi nikisikia mtu anasema anafunga ndoa huko kwenye mabanda ya mabati na kwa wapiga kelele naona bora hata angeenda kufungia kwa mkuu wa mkoa au wilaya ndiyo atakuwa yuko serious na anachokifanya.

Kudumu kwa ndoa sio sababu jengo kubwa Ndoa ilikofungiwa.
Hebu tuwaulize wale waliofungia azaniafront, st Joseph, st peters, st Albans zikavunjika ilikuaje
 
Magonjwa ya akili hayana dini. Kuna magonjwa yanamfanya mtu apende tu kungonoka. Wenyewe huko chachi wanaita pepo la ngono.
 
Sasa si anavumilia ili awe na ndoa maana walikuwa wanapigana sana, pia Kwa ajili ya hyo biashara ya huduma yake so lazima avumilie tu hamna namna
Eti biashara [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Au naye ajikatae tu kama Shusho, afungue biashara yake maana kwenye huduma yao naona Rose yuko popular kuliko huyo Shaboka.
 
Kwani anaa ndoa ngapi? Ndoa ikishavunjwa bado huitwa ndoa tu!?
Ujinga ni kipaji.

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Matthew 5:31 -32
31 Imenenwa pia, Mtu akimwacha mkewe, na ampe hati ya talaka;

32 lakini mimi nawaambia, Kila mtu amwachaye mkewe, isipokuwa kwa habari ya uasherati, amfanya kuwa mzinzi; na mtu akimwoa yule aliyeachwa, azini.
 
Anna dear ,hayo mambo ya zamani,nowdays Watu wanaoa na kuolewa kanisani mara mbili mbili
Mfano Joyce kiria ana ndoa ya RC na Pentecostal na zote chalii
Dj Nelly ana ndoa mbili zote RC
Mwanzo DJ Nelly mwanzo alimuoa Joyce pale St.Peters wakashindwana dada akaolewa Tena hvyo Nely nao kaoa Tena


Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Utandawazi na usasa hauwezi halalisha DHAMBI
 
Eti biashara [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Au naye ajikatae tu kama Shusho, afungue biashara yake maana kwenye huduma yao naona Rose yuko popular kuliko huyo Shaboka.
[emoji28]heri avumilie tu wakiachana Sasa atafubdisha Nini kuhusu mahusiano huku yake yamemshinda, na hivi wanaume wa bongo wote tu umalaya wanafanana heri utafte furushi lako lenye unafuu.
 
hawana aibu wale, dhamiri zao zimekufa, wanaboronga na nyimbo za injili wanaimba. Ila wajue Mungu hadhihakiwi akiimba tena wimbo utadoda hautakuwa na utukufu wa Mungu. Bora hawa waimbaji wakishindwa maisha ya wokovu bora wakaimbe nyimbo za kidunia, za injili wawaachie washindi wanaoshindana na tamaa za kidunia
Yaan kuna mambo ambayo nyie mnaaminishana ni dhambi halafu kumbe kwa mungu ikawa sio dhambi ,mambo ya imani magumu sana acheni kuhukumu.
 
Back
Top Bottom