mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Ndoa za mabandani hizo hakuna ndoa humo,Masanja afungishe ndoa uiite ndoa?au hao kina kuhani sijui mwamposa?
Mimi nikisikia mtu anasema anafunga ndoa huko kwenye mabanda ya mabati na kwa wapiga kelele naona bora hata angeenda kufungia kwa mkuu wa mkoa au wilaya ndiyo atakuwa yuko serious na anachokifanya.
Kudumu kwa ndoa sio sababu jengo kubwa Ndoa ilikofungiwa.
Hebu tuwaulize wale waliofungia azaniafront, st Joseph, st peters, st Albans zikavunjika ilikuaje