Angel Benard aolewa mara ya pili


Kudumu kwa ndoa sio sababu jengo kubwa Ndoa ilikofungiwa.
Hebu tuwaulize wale waliofungia azaniafront, st Joseph, st peters, st Albans zikavunjika ilikuaje
 
Magonjwa ya akili hayana dini. Kuna magonjwa yanamfanya mtu apende tu kungonoka. Wenyewe huko chachi wanaita pepo la ngono.
 
Sasa si anavumilia ili awe na ndoa maana walikuwa wanapigana sana, pia Kwa ajili ya hyo biashara ya huduma yake so lazima avumilie tu hamna namna
Eti biashara [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Au naye ajikatae tu kama Shusho, afungue biashara yake maana kwenye huduma yao naona Rose yuko popular kuliko huyo Shaboka.
 
Kwani anaa ndoa ngapi? Ndoa ikishavunjwa bado huitwa ndoa tu!?
Ujinga ni kipaji.

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Matthew 5:31 -32
31 Imenenwa pia, Mtu akimwacha mkewe, na ampe hati ya talaka;

32 lakini mimi nawaambia, Kila mtu amwachaye mkewe, isipokuwa kwa habari ya uasherati, amfanya kuwa mzinzi; na mtu akimwoa yule aliyeachwa, azini.
 
Utandawazi na usasa hauwezi halalisha DHAMBI
 
Ila huyu dada naye ana tatizo.
Before Sakafu ana watoto wawili kila mmoja na baba Yake. (Mmoja kazaa na Shaboka)

Sihukumu ila yawezekana naye kuna kitu.
Shaboka mtume/ Mchungaji [emoji1784]
 
Eti biashara [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Au naye ajikatae tu kama Shusho, afungue biashara yake maana kwenye huduma yao naona Rose yuko popular kuliko huyo Shaboka.
[emoji28]heri avumilie tu wakiachana Sasa atafubdisha Nini kuhusu mahusiano huku yake yamemshinda, na hivi wanaume wa bongo wote tu umalaya wanafanana heri utafte furushi lako lenye unafuu.
 
Yaan kuna mambo ambayo nyie mnaaminishana ni dhambi halafu kumbe kwa mungu ikawa sio dhambi ,mambo ya imani magumu sana acheni kuhukumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…