Angel Benard aolewa mara ya pili

Wewe mgeni wa JF eeh JF Kuna wazito wengi tu wasomi mbalimbali huku Huwa ni kijiwe ka vijiwe vingine tu
Naamini wazito wapo ila uwezi kuta wanachangia mada za njaa njaa km hizi, tena komenti za kinjaa njaa. Wazito utawakuta intelligence huko huku ni walalahoi tu km ww[emoji16][emoji23]
 
Uelewa wako kuhusu ndoa ni mdogo sana
 
Nimekuelewa sana. Barikiwa
 
Ndugu usiingie kwenye mkumbo wa kuwasema watumishi wa Mungu, humu kila mtu anasema lake bila kuwa na ushahidi walio wengi wanafuata mkumbo,tukumbuke ukimsema mpakwa mafuta wa Mungu ni hatia,labda kama hamtumikii Mungu alie hai.
Oya hao sio watumishi wa Mungu, ni watumishi wa matumbo yao. Hakuna cha upakwa mafuta wala nn, ni ujinga ujinga tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…