Angel Benard aolewa mara ya pili

Angel Benard aolewa mara ya pili

Wewe mgeni wa JF eeh JF Kuna wazito wengi tu wasomi mbalimbali huku Huwa ni kijiwe ka vijiwe vingine tu
Naamini wazito wapo ila uwezi kuta wanachangia mada za njaa njaa km hizi, tena komenti za kinjaa njaa. Wazito utawakuta intelligence huko huku ni walalahoi tu km ww[emoji16][emoji23]
 
Ndoa za mabandani hizo hakuna ndoa humo,Masanja afungishe ndoa uiite ndoa?au hao kina kuhani sijui mwamposa?

Mimi nikisikia mtu anasema anafunga ndoa huko kwenye mabanda ya mabati na kwa wapiga kelele naona bora hata angeenda kufungia kwa mkuu wa mkoa au wilaya ndiyo atakuwa yuko serious na anachokifanya.
Uelewa wako kuhusu ndoa ni mdogo sana
 
Nilichomaanisha mkuu, Yesu aingilie kanisa lake maana linachafuliwa na watumishi feki, for how long will they continue using the JESUS NAME for their behind evil and wicked motives?! Awapige viboko tu kwa kuwafichua ili watu wafahamu Yale yaliyofichwa. By the way muda upo nao waja na umeshakaribia....
Nimekuelewa sana. Barikiwa
 
Ndugu usiingie kwenye mkumbo wa kuwasema watumishi wa Mungu, humu kila mtu anasema lake bila kuwa na ushahidi walio wengi wanafuata mkumbo,tukumbuke ukimsema mpakwa mafuta wa Mungu ni hatia,labda kama hamtumikii Mungu alie hai.
Oya hao sio watumishi wa Mungu, ni watumishi wa matumbo yao. Hakuna cha upakwa mafuta wala nn, ni ujinga ujinga tu.
 
Back
Top Bottom