Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Umeandika maombi kwa mwamposa hayo maombi ungenitumia mimi tu mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chizi wewe[emoji1787]
Mm mwenyewe nimeandika maombi yangu .
Mambo yake ya siri anajua yeye na Mungu wake,,,
Ila as long watu wanafunguliwa nawanapona, hilo latosha
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nyimbo zao zlkua zinanibariki Sana nabubujikwa na machozi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji24][emoji24]
Kuna Ile Mungu unaishi Dah aisee [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hebu acha basi
Kuna wimbo wa Flora mbasha na mumewe
"Maisha ya ndoa"
Shetani ni mbaya jamani [emoji3064]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Mimi maombi yako nikimaliza kuchek movie hapa nitumie niyafikishe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hebu acha basi
Kuna wimbo wa Flora mbasha na mumewe
"Maisha ya ndoa"
Shetani ni mbaya jamani [emoji3064]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Mengi nimeshajibiwa[emoji23][emoji23]huwezi amini.Umeandika maombi kwa mwamposa hayo maombi ungenitumia mimi tu mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]
Hata mimi yaani acha tu,sema still nao ni binadamu kama sisi.Mwili na tamaa zake ni ngumu sana kuushinda. Ndo maana mimi kila nikiomba huwa ninatubu kila siku.Nyimbo zao zlkua zinanibariki Sana nabubujikwa na machozi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji24][emoji24]
Kuna Ile Mungu unaishi Dah aisee [emoji23]
Nitumie mm mkuu nlipie tu Netflix mwezi ujaoMengi nimeshajibiwa[emoji23][emoji23]huwezi amini.
Bado machache tu.
Kwani kuandika sh ngapi?
Watu kila siku wanayaombea, kwanini nisiandike?
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Mkuu mimi huwa siwapingi watumishi nachowapinga ni kuigiza maisha basiHata mimi yaani acha tu,sema still nao ni binadamu kama sisi.Mwili na tamaa zake ni ngumu sana kuushinda. Ndo maana mimi kila nikiomba huwa ninatubu kila siku.
Wahuni sikuhizi wakipigwa na maisha wanajizima data na kuanzisha kanisa au huduma Sasa huyo mhuni kaachana na mumewe atafubdisha Nini watu waelewe kama wanashindwa kutii waume au wake zao ndio watakuwa na utii Kwa kristo na kuongoza watu kweli?Unaona kabisa Mungu hatukuzwi
Sifa zote zinaenda kwa mchungaji
Aisee,
Watu wanajizima data[emoji1787]
Nikashangaa, hadi huyu dada?
Ndio kuna mtu kaniambia eti ana kanisa lake, na ashaachana na mumewe kitambo Sana.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Sema ndo hivyo, wanataka tununue nyimbo zao. Wapo kazini ili kujipatia kipato.Mkuu mimi huwa siwapingi watumishi nachowapinga ni kuigiza maisha basi
Hapo ndo tunatofautiana
[emoji28][emoji28][emoji28]hafu huyo flora gwajiboy si ndio alitilia kitumbua Cha ndoa Yao mchanga. Hawa waimbaji watumishi Huwa ni Malaya kuliko raia wakawaida.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hebu acha basi
Kuna wimbo wa Flora mbasha na mumewe
"Maisha ya ndoa"
Shetani ni mbaya jamani [emoji3064]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Yaani[emoji1787]Wahuni sikuhizi wakipigwa na maisha wanajizima data na kuanzisha kanisa au huduma Sasa huyo mhuni kaachana na mumewe atafubdisha Nini watu waelewe kama wanashindwa kutii waume au wake zao ndio watakuwa na utii Kwa kristo na kuongoza watu kweli?
Injili imevamiwa na walioshindikana tabia
Angevumilia auwawe km yule wa Nigeria tena wangekuja na mengine Mungu ndiye anayejua aliyoyapitia Hadi akaachika ndoa yakwanzaTUsimhukumu kwa kigezo cha utumishi wake, what if mwenye shida alikua huyo mume? Ina maana alipaswa aendelee kuvumilia maumivu kwasababu yeye mlokole? Mlokole hana moyo? Hana hisia? Au walokole wamewekea some sort of bullet proof kwenye mioyo yao?
Why people are always negative?
As long as anaishi she deserves a husband kuliko kuwa mzinifu, acheni negative thinking au ndo nyie mkioa walokole mnawatesa mkijua talaka hakuna? Smh!
Gwajiboy tena? [emoji15][emoji28][emoji28][emoji28]hafu huyo flora gwajiboy si ndio alitilia kitumbua Cha ndoa Yao mchanga. Hawa waimbaji watumishi Huwa ni Malaya kuliko raia wakawaida.
Kiukweli tukutane mbinguni wapendwa na tusome biblia wenyewe aisee
Wewe ipo kona yako moja utakayobaniwa na huo mdomo wako wa kuchafua ukristo utakoma.Kwanza wameua watu wengi na sijui kwanini serikali inawafumbia macho Hawa watu, Paul kagame kidume kawadhibiti kweli Hawa watumishi wa mchongo
Habari,
Msanii Angel Bernard ameolewa kwa mara ya pili.
Mara ya kwanza aliolewa na Producer wa Nyimbo za Injili Godsave Sakafu.
Kulikoni wanamuziki wa nyimbo za injili wa kike?
Huyu hapa;
Mimi siabudu hayo makanisa(ni mlutheri) ila naijua biblia hicho unachofanya sio sahihi.Ndo wanavyowateka akili et Do not touch the Annointed. HAAHAAHH na wanawateka kweli kiakili. Omba Mungu akupe macho ya rohoni. Akupe Hekima uweze kutambua magugu na ngano.
Ka story ka long time akisali hapo halooGwajiboy tena? [emoji15]
Kweli napitwa na mengi[emoji1787]
Hata hata sijui.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Mimi sikutishi I'm whistle blower,hata Yesu mwokozi alisemwa vibaya kwa uongo hata kufa,je itakuwa ajabu akina mwamposa kuzushiwa?pia unapaswa kujua hata ingekuwa kweli kumsengenya mtu kwa namna yeyote unakuwa umetenda dhambi.Acha kutisha watu nao ni binadamu kama sisi na wanamaoungufu ya kibinadamu ndio maana hata umalaya wanaufanya.