Angel Benard aolewa mara ya pili

Angel Benard aolewa mara ya pili

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chizi wewe[emoji1787]

Mm mwenyewe nimeandika maombi yangu .
Mambo yake ya siri anajua yeye na Mungu wake,,,
Ila as long watu wanafunguliwa nawanapona, hilo latosha

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Umeandika maombi kwa mwamposa hayo maombi ungenitumia mimi tu mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nyimbo zao zlkua zinanibariki Sana nabubujikwa na machozi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji24][emoji24]

Kuna Ile Mungu unaishi Dah aisee [emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hebu acha basi

Kuna wimbo wa Flora mbasha na mumewe
"Maisha ya ndoa"
Shetani ni mbaya jamani [emoji3064]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Nyimbo zao zlkua zinanibariki Sana nabubujikwa na machozi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji24][emoji24]

Kuna Ile Mungu unaishi Dah aisee [emoji23]
Hata mimi yaani acha tu,sema still nao ni binadamu kama sisi.Mwili na tamaa zake ni ngumu sana kuushinda. Ndo maana mimi kila nikiomba huwa ninatubu kila siku.
 
Hata mimi yaani acha tu,sema still nao ni binadamu kama sisi.Mwili na tamaa zake ni ngumu sana kuushinda. Ndo maana mimi kila nikiomba huwa ninatubu kila siku.
Mkuu mimi huwa siwapingi watumishi nachowapinga ni kuigiza maisha basi

Hapo ndo tunatofautiana
 
Unaona kabisa Mungu hatukuzwi
Sifa zote zinaenda kwa mchungaji

Aisee,
Watu wanajizima data[emoji1787]
Nikashangaa, hadi huyu dada?
Ndio kuna mtu kaniambia eti ana kanisa lake, na ashaachana na mumewe kitambo Sana.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Wahuni sikuhizi wakipigwa na maisha wanajizima data na kuanzisha kanisa au huduma Sasa huyo mhuni kaachana na mumewe atafubdisha Nini watu waelewe kama wanashindwa kutii waume au wake zao ndio watakuwa na utii Kwa kristo na kuongoza watu kweli?
Injili imevamiwa na walioshindikana tabia
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hebu acha basi

Kuna wimbo wa Flora mbasha na mumewe
"Maisha ya ndoa"
Shetani ni mbaya jamani [emoji3064]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
[emoji28][emoji28][emoji28]hafu huyo flora gwajiboy si ndio alitilia kitumbua Cha ndoa Yao mchanga. Hawa waimbaji watumishi Huwa ni Malaya kuliko raia wakawaida.
Kiukweli tukutane mbinguni wapendwa na tusome biblia wenyewe aisee
 
Wahuni sikuhizi wakipigwa na maisha wanajizima data na kuanzisha kanisa au huduma Sasa huyo mhuni kaachana na mumewe atafubdisha Nini watu waelewe kama wanashindwa kutii waume au wake zao ndio watakuwa na utii Kwa kristo na kuongoza watu kweli?
Injili imevamiwa na walioshindikana tabia
Yaani[emoji1787]
Nikawa najiuliza, huyu si mume wake ni mchungaji, imekuwaje ana kanisa lake?
Heri angeanzisha branch ya kanisa la mumewe,. Nikaambiwa washaachana. Eeeh[emoji119][emoji119]

Huyo Angel Benard nilisikia ni mke wa mchungaji,
Aisee[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Leo tena ndoa nyingine?

Pentecostal churches nyingi za kikanjanja sana aisee, almost yote,,hata Yale wanayojitambua,bado Kuna kiujinga fulani hivi cha kujiona wao wapo sawa na ni walokole wazuri kuliko makanisa mengine ya CCT,Roman na mengine.
Hizi ndoa zaidi ya Moja Mungu hazitambui.
Sijui wanasimamia maandiko yapi.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
TUsimhukumu kwa kigezo cha utumishi wake, what if mwenye shida alikua huyo mume? Ina maana alipaswa aendelee kuvumilia maumivu kwasababu yeye mlokole? Mlokole hana moyo? Hana hisia? Au walokole wamewekea some sort of bullet proof kwenye mioyo yao?

Why people are always negative?

As long as anaishi she deserves a husband kuliko kuwa mzinifu, acheni negative thinking au ndo nyie mkioa walokole mnawatesa mkijua talaka hakuna? Smh!
Angevumilia auwawe km yule wa Nigeria tena wangekuja na mengine Mungu ndiye anayejua aliyoyapitia Hadi akaachika ndoa yakwanza
 
[emoji28][emoji28][emoji28]hafu huyo flora gwajiboy si ndio alitilia kitumbua Cha ndoa Yao mchanga. Hawa waimbaji watumishi Huwa ni Malaya kuliko raia wakawaida.
Kiukweli tukutane mbinguni wapendwa na tusome biblia wenyewe aisee
Gwajiboy tena? [emoji15]
Kweli napitwa na mengi[emoji1787]
Hata hata sijui.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Habari,

Msanii Angel Bernard ameolewa kwa mara ya pili.

Mara ya kwanza aliolewa na Producer wa Nyimbo za Injili Godsave Sakafu.

Kulikoni wanamuziki wa nyimbo za injili wa kike?

Huyu hapa;

Kuna mtumishi wa Mungu kwa njia ya nyimbo za injili na kuna msanii wa nyimbo za injili.

Kuna vitu vigumu kuvielewa. unaweza kuta printing press inayo print biblia inamilikiwa na wapagani.Wenyewe kwao kuuza biblia ni biashara kama biashara za bidhaa zingine.

kila jambo inabidi kuliangalia kwa mktadha
 
Ndo wanavyowateka akili et Do not touch the Annointed. HAAHAAHH na wanawateka kweli kiakili. Omba Mungu akupe macho ya rohoni. Akupe Hekima uweze kutambua magugu na ngano.
Mimi siabudu hayo makanisa(ni mlutheri) ila naijua biblia hicho unachofanya sio sahihi.
 
Acha kutisha watu nao ni binadamu kama sisi na wanamaoungufu ya kibinadamu ndio maana hata umalaya wanaufanya.
Mimi sikutishi I'm whistle blower,hata Yesu mwokozi alisemwa vibaya kwa uongo hata kufa,je itakuwa ajabu akina mwamposa kuzushiwa?pia unapaswa kujua hata ingekuwa kweli kumsengenya mtu kwa namna yeyote unakuwa umetenda dhambi.
 
Back
Top Bottom