Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Unataka aishie mbozi na mlowo tu?Hahahah akina mwaisa mkifika mambele amkawilii kubadili gia angani
Hahahah akienda Saza inatoshaUnataka aishie mbozi na mlowo tu?
We kaka mbaya sana😂
Na wazungu walivyo na real loveHahahah akina mwaisa mkifika mambele amkawilii kubadili gia angani
Ni roho mbaya tuHahahah akienda Saza inatosha
Na wazungu walivyo na real love
Aisee nani anataka kurudi kwenye mateso ya kidikteta kutoka kwa nyie wanaume wetu😁
Ni upendo na sekyurite tuNi roho mbaya tu
Hakuna kingine🤣
UnajistukiaaNi upendo na sekyurite tu
Unadunduliza😀 Mzungu ana mihela mie huku nadunduliza chenchi za madafu ni ngumu aisee!!! Kwanza dadaako anapenda sana Ulaya hilo kosa la kumpeleka kule siwezi fanya hata siku 1
Hawezi enda kule labda twende wote 🤣Unajistukiaa
Akienda huko huna chako
Mwanaume. Umshautie si balaa hiloUnadunduliza
Na ubabe juu..
Yaani wanaume wa bongo🙌
Huku wenzenu wanapenda demokrasia,mwanamume anaweza shoutiwa.
Sasa hapo naanzaje kurudi jamani?
Wakati wenzenu huko nje ni kitu cha kawaida kupandishiana🤣Mwanaume. Umshautie si balaa hilo
We shauti shauti uongezwe mtoto wa pili uendelee kuhangaika nae 🤣🤣🤣Wakati wenzenu huko nje ni kitu cha kawaida kupandishiana🤣
Sasa nyie wanaume wetu wa bongo aisee ni pasua kichwa🙌🙌🙌🙌
Lakini Kuna wabongo wanajua kutoa hela...Hawezi enda kule labda twende wote 🤣
Hela mtapewa iliopo sio mtegemee mifweza ya bili gates mzee wa kukuLakini Kuna wabongo wanajua kutoa hela...
Hata kama ni kidogo..
Sisi wanawake tunaangalia nia,na si kiasi.
Ila sasa kwenye ubabe sass🙌
Mjifunze msiwe wababe..
Nyie wenyewe ndo mnaofanya wanawake wenu wakienda huko wakatae kurudi bongo .
hii imekaa vizuri..Sasa unaonaje na mimi na wewe tukijiunga kwa pamoja tufanye ya kwetu na sisi?Nimesoma naye A level alikuwa active Sana kwenye Mambo ya dini. Na alikuwa ameokoka. Nakumbuka walijiunda ka group ka wasichana (kipindi hicho bado wasichana) Kama wanne hivi walikuwa wanaimba haoo
Walijiita anointed singers!
Naona tu unavyomchawia Nick hapo kwamba hawaendani mara hawafanani...we unadhan uchawi mpaka ushike tunguri?Sasa uchawi umeingiaje hapa mkuu?
Hapo mbingu na ardhi aiseeSi imekaa poa lakini