Angel Benard aolewa mara ya pili

Ongea na wahusika wazi wazi huenda wakakuelewa vizuri sana na wakatubu kuliko kusambaza machafu yao kwa mataifa, huko sio sawa.
 
Sio kweli, hapa unawaanika tu na kuwasengenya.
Ni kosa kuwaanika?. Mbona mafisadi tunawaanika na wanashughulikiwa, ila matapeli wa kiroho ndio tuwaache?. Mbona Kenya wameweza? Sisi je. Kasome story ya Jim Jones , zilianza hivhivi, watu wakisema wanaonekana vibaya. Mwisho wa siku Jim Jones kaua waumini wake wote kwa sumu. Tuache tuongee ukweli tufunge watu wasife Kama kwa Mackenzie.
 
Mtu kazaa na wanaume wanne tofauti, Bado unakuja hapa watu msimseme mpakwa mafuta wa bwana. Unajua maana ya kupakwa mafuta? Yani mpakwa mafuta wa bwana anafanya uzinifu kuliko mpagani. Tuache unafiki.
Huo ni upeo wako wa kuona mambo,acha kuhukumu watu hukumu ni juu ya Mungu.
 
Ila Hadi flora kukimbia alipitia mengi na wanaume ma handsome huwa ni majipu tu, ila flora huyu mume mwingine ana mpenda sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…