Angel Benard aolewa mara ya pili

Vitu vizuri ndiyo shetani anaharibu, vibaya hana muda navyo maana tayari yupo naye kwake.

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Ila huyu dada naye ana tatizo.
Before Sakafu ana watoto wawili kila mmoja na baba Yake. (Mmoja kazaa na Shaboka)

Sihukumu ila yawezekana naye kuna kitu.
Shaboka huyu mchungaji mmojawapo wa kizazi kipya?
 
Hilo ni kweli, yaani kama kwa mapdri na wachungaji wanawake wengi huwa wanajipeleka sana, watumishi wanapitiaga vishawishi vingi sana, bint anaweza mpigia mch.video call akiwa mtupu piga picha hapo, nikuwaombea tu watumishi wa Mungu.

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Kaah...Sasa Kwani mtoto huyooo!!

Ila ana moyo sana na mwanaume km hakupendi ni shida sana

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kuishi na mwanaume asiyekupenda daa hapana siwezi kabisa, anaweza kuwa anakufanyia vituko unaogopa hata kuongea kisa utamuudhi, maisha gani hayo mmmm!

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Halafu ukionyeshea wanawake ambao wanawategaga watumishi ni wanakuwa ni wazuri mno mpaka unajiuliza hivi huko nje amekosa mtu wa kuwa nae mpaka amfuate mtumishi.
 
Halafu ukionyeshea wanawake ambao wanawategaga watumishi ni wanakuwa ni wazuri mno mpaka unajiuliza hivi huko nje amekosa mtu wa kuwa nae mpaka amfuate mtumishi.
Ndiyo hapo sasa, wakati mwingine mpaka umawaonea huruma ndiyo maana Mchungaji mmoja siku yakuonana na watu wanakuwa kanisani hapo hapo ndani viti vinapangwa kila mtu anaona ila sasa mwenye shida zake anaenda kumnong'oneza hapo hapo[emoji3]

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…