Angel Benard aolewa mara ya pili

Hata mimi huwa napenda zaidi kumsoma kuliko kumsikiliza
Sauti yake ya kupayuka inachosha .

Ila akiandika ,anaandika kweli yule mama🙌
Na anavyojua kupendeza,nguo zake ni🔥
 
Una kitu Dada heaven utafika mbali
 
Hivi ndoa za kikristu, unaweza kufunga Mara mbili si kweli, sema wame zao wa ndoa za mwanzo wanapotezea matangazo ya ndoa, hawapeleki Chet ili kupinga kanisani, wanaume wote wa kristu muwe hivyo Kama kina mbasha, na mke wa sugu mume wake wa mwanzo nk.
 
Ukifuatilia wengi wa hawa Gen z (generation z) pastors, yaani wachungaji wa kizazi kipya
Ukifuatilia wengi wa hawa Gen z pastors (wachungaji wa kizazi kipya), ni motivational speakers wanaotumia Biblia na ndio maana inabidi waweke vionjo kama vya sauti, mionekano(looks), misemo na mbwembwe ili kuvutia hadhira.

ni nadra sana ukawakuta wanahubiri kuhusu injili za toba, kifo, unyakuo wa kanisa, kurudi kwa Yesu, yaani vile vitu sensitive vinavyogusa nafsi za watu na kuwatia hofu ya dhambi, maana nia na dhumuni ni kufurahisha hadhira na sio kuwakera, ni kama kibiashara flan hvi kwakweli, tofauti na wachungaji kama kina mwakasege.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…