Angel Benard aolewa mara ya pili

Angel Benard aolewa mara ya pili

[emoji2][emoji2] hata Mimi Huwa namshangaa she is beautiful ila sauti Huwa inahatibu hata ujumbe anaotaka kuhuburi, Mimi binafsi Huwa napenda kusoma anachoandika kuliko kuhubiri maana ile sauti inachosha Hadi naona na mimi naumia. Ila wachungaji walokole wengi wanapenda kuongea hivo wakifikiria ndio vizuri kumbe wanaharibu hata ukiongea kawaida unaeleweka tu mbona ma padri huongea kiustaarabu na tunawaelewa tu vizuri bila shida.
Kiukweli hyo sauti kwangu hapana.
Hata mimi huwa napenda zaidi kumsoma kuliko kumsikiliza
Sauti yake ya kupayuka inachosha .

Ila akiandika ,anaandika kweli yule mama🙌
Na anavyojua kupendeza,nguo zake ni🔥
 
Mmh binamu kwani anateseka na ndoa yake? Naamini hata wao Wana ups and downs kama sisi tu; ila suala la kusema anateseka kwenye ndoa; nafikiri wengi wetu hapa hatuna uhakika nalo. Fact that alipambana hadi yeye akawa mshindi, haimaanishi anateseka sasa hivi. Sio Kila mtu anapata ndoa smoothly, especially kwenye ndoa ambazo zimebeba "purpose" kubwa kama Ile ya kina Rose. Sio rahisi utoke tu from nowhere na ukamlazimisha mtu akuoe; hadi anakubali kukuoa it means kuna sababu ameipata ya yeye kukuoa. As a matter of fact; as Christians hatuoani tu kwa sababu ya upendo ambao leo unaweza ukawepo na kesho ukapungua; tunaoa kwa sababu ya "kusudi" ambalo Mungu ameweka kati yetu.

Plus we learn to grow in love. Unaweza ukamuoa mtu kwa sanabu ana mimba yako tu, ila huko mbeleni ukaona daah kumbe huyu anafaa kuwa mke kweli, so ukakaa ukatulia kwelikweli. Na wapo wanaoana kwa upendo tu, ila ndani wanaishi kwa majuto

Kuhusu kumlinda mumewe; nafikiri ni wajibu wa kila mume/mke kumlinda mwenza wake physically na spiritually. Sisi tu ambao waume zetu hawajulikani; tunawalinda kwelikweli; sembuse kwa Shaboka mwenye influence yake na anakutana na wanawake wa Kila aina daily? Hivi mnawajua mabinti wa kilokole walivyojaa mitego na hizo "daddy this, daddy that"?
Una kitu Dada heaven utafika mbali
 
Hivi ndoa za kikristu, unaweza kufunga Mara mbili si kweli, sema wame zao wa ndoa za mwanzo wanapotezea matangazo ya ndoa, hawapeleki Chet ili kupinga kanisani, wanaume wote wa kristu muwe hivyo Kama kina mbasha, na mke wa sugu mume wake wa mwanzo nk.
 
Yaani hata mm huwa najiuliza, kwanini aisiongee tu kawaida?
Akiongea taratibu tu ana sauti bomba,na Ile lafudhi yake ya kaskazini basi sauti inakuwa nzuri..


Ila sasa anatumia nguvu kuongea sauti ya kumwaruza kama anafoka hivi,
Ile sauti ya mikwaruzo inaumiza masikio ,,, Kuna muda nikiona mtu anapayuka sana nahisi koo langu linaumia.


Mwakaseghe anaongeaga kawaida tu na watu wanamuelewa sana,wansfurika kwenye mikutano yake


Sasa Hawa wapentecoste wengi wanaona bila kupayuka ni kama hawajahubiri.
Ukifuatilia wengi wa hawa Gen z (generation z) pastors, yaani wachungaji wa kizazi kipya
Yaani hata mm huwa najiuliza, kwanini aisiongee tu kawaida?
Akiongea taratibu tu ana sauti bomba,na Ile lafudhi yake ya kaskazini basi sauti inakuwa nzuri..


Ila sasa anatumia nguvu kuongea sauti ya kumwaruza kama anafoka hivi,
Ile sauti ya mikwaruzo inaumiza masikio ,,, Kuna muda nikiona mtu anapayuka sana nahisi koo langu linaumia.


Mwakaseghe anaongeaga kawaida tu na watu wanamuelewa sana,wansfurika kwenye mikutano yake


Sasa Hawa wapentecoste wengi wanaona bila kupayuka ni kama hawajahubiri.
Ukifuatilia wengi wa hawa Gen z pastors (wachungaji wa kizazi kipya), ni motivational speakers wanaotumia Biblia na ndio maana inabidi waweke vionjo kama vya sauti, mionekano(looks), misemo na mbwembwe ili kuvutia hadhira.

ni nadra sana ukawakuta wanahubiri kuhusu injili za toba, kifo, unyakuo wa kanisa, kurudi kwa Yesu, yaani vile vitu sensitive vinavyogusa nafsi za watu na kuwatia hofu ya dhambi, maana nia na dhumuni ni kufurahisha hadhira na sio kuwakera, ni kama kibiashara flan hvi kwakweli, tofauti na wachungaji kama kina mwakasege.
 
Back
Top Bottom