Angel Benard aolewa mara ya pili

Du kakamata fursa.Hawa waimbaji nyimbo za Dini,wengi ni wasanii tu.Hata yule Upendo kilahiro aliolewa tena,Flora Mbasha pia.Ndoa ya Christina Shusho imekufa,ya Martha mwaipaja pia imekufa.
Ndio hapo watu wanashindwa kutofautisha kwamba kuimba nyimbo za injili ni usanii tu kama fani nyingine
Ni kama mimi eti unikute nasikiliza kwaya alafu useme nimeokoka 😆
 
hujui ulokole ni nini, na nguvu iliyomo ndani ya wokovu huijui...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…