Angel Benard aolewa mara ya pili

Angel Benard aolewa mara ya pili

Du kakamata fursa.Hawa waimbaji nyimbo za Dini,wengi ni wasanii tu.Hata yule Upendo kilahiro aliolewa tena,Flora Mbasha pia.Ndoa ya Christina Shusho imekufa,ya Martha mwaipaja pia imekufa.
Ndio hapo watu wanashindwa kutofautisha kwamba kuimba nyimbo za injili ni usanii tu kama fani nyingine
Ni kama mimi eti unikute nasikiliza kwaya alafu useme nimeokoka 😆
 
TUsimhukumu kwa kigezo cha utumishi wake,what if mwenye shida alikua huyo mume?ina maana alipaswa aendelee kuvumilia maumivu kwasababu yeye mlokole?mlokole hana moyo?hana hisia?au walokole wamewekea some sort of bullet proof kwenye mioyo yao?
why people are always negative?
As long as anaishi she deserves a husband kuliko kuwa mzinifu,acheni negative thinking au ndo nyie mkioa walokole mnawatesa mkijua talaka hakuna?smh
hujui ulokole ni nini, na nguvu iliyomo ndani ya wokovu huijui...
 
Back
Top Bottom