Angel Benard aolewa mara ya pili

Hako kanick hata mkononi hakajai...kadunyuuu[emoji848][emoji848]

Akikaa na Rose utasema mtu na mamaake mdogo!

Rose mzuri sana hafananii kuwa na hicho kivulana sema ndo mapenzi
Sasa si anavumilia ili awe na ndoa maana walikuwa wanapigana sana, pia Kwa ajili ya hyo biashara ya huduma yake so lazima avumilie tu hamna namna
 
Unaweza kuta alishauriwa lakini yeye akang'ang'ana na hilo,,,,ujuaji mwingi na huwaga hawataki ushauri,,,ikifika hapo unachukua pesa yako na kumsikiliza mteja atajijjua mwenyewe huko akienda kulitimba!!
 
H
Warembo wote watapigwa vita nakwambia hizi huduma za kilokole Zina mambo kweli
Alafu warembo walivyo wajanja humpanga Nick na kumpa utelezi kimya kimya bila mama mchungaji kujua.

Mwanaume ni mwanaume tu akidai utelezi wa mrembo nje na mkewe hupewa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…