Angel Benard aolewa mara ya pili

Angel Benard aolewa mara ya pili

hujui ulokole ni nini,na nguvu iliyomo ndani ya wokovu huijui...
NIpo kwenye wokovu toka 2015.

Sometimes unaweza ukawa deep kwenye wokovu ila ukakosea mahesabu kwenye kuoa au kuolewa so ina maanisha usiachane nae?

Mungu anasema atakupa wa kufanana nawe, huoni kwamba ukikosa umakini shetani anaweza akakupa wa kwake ili akutoe kwenye kusudi la Mungu? Kipi bora hapo ubakie kutimiza makusudi ya shetani au utoke kwenye hiyo ndoa ukafanye mapenzi ya Mungu?

Mungu wetu amejaa rehema na fadhili na huruma tele, so he gives second chances.
 
Back
Top Bottom