Angel Benard aolewa mara ya pili

Angel Benard aolewa mara ya pili

Anakaribia kufikisha watoto watano na wanaume tofauti tofauti.
Ila kabla ya kuwa mwimbaji wa gospel alianzaga kwanza na bongo flavor ila haikumtoa ndio akaingia gospel
Hivi si walikuwa mapacha?! Angel ana pacha wake namfahamu tokea vidudu labda kama nimejichanganya.
 
Kuwa na umbo kama unavyoliona sio sababu ya kutengenezewa nguo mrqdi nguo tu, kuna watu kama Mobetto wana maumbo ya kawaida lakini wanashonewa nguo akivaa unapata ana hips kama Sanchoka...

Kwenye fashion design huwa inafundishwa kuwa, every designer must know their customers na wajue kitu wanapaswa wadesign kwa kila mteja...

Ndio maana unapata kuna designers wa wanaume, wanawake, wanamichezo, marais, costume designers etc...

Unaweza kuta dada alienda kwa fundi wa nguo za kiume kutengeneza gauni la sherehe...
We ni mkenya?!
 
[emoji1787][emoji1787] una kadi ya Chama Cha Mapinduzi nikuoe? Ni kweli mwanamke wa miaka 28 ana-match na wa kuanzia 36.
[emoji28][emoji28][emoji28]ninayo kadi
Gap linasaidia wanawake tunachoka fasta pia we grow fast in our mind that's why napenda mtu aliyenizidi Kila kitu kwanza ni ngumu kusumbuana hovyo
 
Back
Top Bottom