Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Ss ngono inaingiaje hapa na mtu kaolewa jmn?We unawajua wapendwa kwel wewe...
Wao na ngono ni dugu moya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ss ngono inaingiaje hapa na mtu kaolewa jmn?We unawajua wapendwa kwel wewe...
Wao na ngono ni dugu moya
Basi wengine wanataka kujua yaliyomo Yamo basiWanajua watumish wana ela eeh? Watumishi nao ni binadamu
Ipo interview yake utube,tafutaIla huyu dada naye ana tatizo.
Before Sakafu ana watoto wawili kila mmoja na baba Yake. (Mmoja kazaa na Shaboka)
Sihukumu ila yawezekana naye kuna kitu.
Kuna interview amefunguka utube ,sikumbuki ni nani alimhoji.Ujue hiyo story nami niliisikia mahali....
Nikaona kama ni vitu haviko...
hawa mabinti wazuri na warembo huwa wahanga wa kufukuzwa makanisani mwao kutokana na kashfa za kimapenzi. Lakini wale wabaya wenye sura ngumu wasiojiremba huwa hawakutani na mikasa ya kutengwa au kufukuzwa kutokana na jinsi walivyo, hawavutiiHuyu binti alishawahi fukuzwa kanisani kwake zamani kisa uzinifu, inasemekana alipata mimba isio halali.
Hao ni machizi waliochangamkaWanasikitisha sana si heri huko Kuna dayosisi anaweza dhibitiwa Sasa Hawa manabii watenda miujiza fake ni waharibifu mno
Kwanza wameua watu wengi na sijui kwanini serikali inawafumbia macho Hawa watu, Paul kagame kidume kawadhibiti kweli Hawa watumishi wa mchongoHao ni machizi waliochangamka
Hakuna anae jua zaidi ya kuyaishi maneno ya wanayo hubiri na kupotosha hao wataka sadaka na zaka makanisani na ndio maana imesha andikwa usihukumu maana usije ukahukumiwa , vipimo vya mungu ni vigumu sana mwanadamu kuvijuaunajua hukumu ya Mungu inaanzia wapi?
Wizioo ,I miss u ...😅.Kilahiro alitisha aisee[emoji23]
Alienda nje,mumewe anajua ameenda kumwimbia Bwana kumbe mwenzie anaolewa.
Maswali ninayojiuliza ni mengi,likiwemo hili;-
Ni dhehebu gani linaruhusu mtu kufunga ndoa mara 2?
Nimefurahi kukuona Wizo😍Wizioo ,I miss u ...😅.
Kuhusu kilahiro na upendo ,Ile haikuwa coincidence, wale waliachana muda sana,km sikosei 2014...lkn walifanya kimyakimya,mpk watu wanakuja kujua washa achana muda....kama Martha mwaipaja pia,after 2 yrs ndo watu walikuwa kuwa washa achana na mumewe...
Ndo badae upendo akaolewa zake USA na sshv ni Mchungaji 🙌, Dunia hii!
Yesu anakaribia kurudi aisee
Nyimbo zao zlkua zinanibariki Sana nabubujikwa na machozi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji24][emoji24]Ndoa ni moja tu .
Kiroho hakuna,sema kibinadamu ndo hivyo .Watu wana tamaa,naona Upendo aliiona fursa USA akaona Amon hawezi mfikisha kule yeye anataka afike kimafanikio.
Yaani we jamaa unaonekana wazi umetuma hata haujifichi [emoji23][emoji23]Acha wivu. Kama hakuna huduma why watu wajibiwe maombi yao? Watu wamepata kazi kupitia pale na bado wanafanikiwa.. what are u talking about?
Mmbea umefika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]Aiseee
Naona unaanza kunizoea vibaya jomba. Hatuko mahakamani hapa.Unaweza kuthibitisha kuwa ni biashara?
Acheni kufatilia maisha ya watu,awe muimba injili,awe mtawa,mchungaji,furaha yake ni jukumu lake,usitumie watu kama rada ya maadili yako ya kidini,utakuwa unakwazika sana,Habari,
Msanii Angel Bernard ameolewa kwa mara ya pili.
Mara ya kwanza aliolewa na Producer wa Nyimbo za Injili Godsave Sakafu.
Kulikoni wanamuziki wa nyimbo za injili wa kike?
Huyu hapa;
Unaona kabisa Mungu hatukuzwiUmeona eeh yeye anatumia fursa tu kupiga hela watumishi wanaume wajinga na hivi geodave anapenda kusifiwa akampa
Ni upuuzi kujiita mtumishi wa Mungu huku ukifanya mambo ya kishetani. Acha kutetea ujinga wewe.Acheni kufatilia maisha ya watu,awe muimba injili,awe mtawa,mchungaji,furaha yake ni jukumu lake,usitumie watu kama rada ya maadili yako ya kidini,utakuwa unakwazika sana,
Every one deserve to be happy,kama mume wa kwanza alileta shida,akafulia unataka Binti wa watu afanyeje?
Flora mbasha,Martha mwaipaja,Shusho,wote wapo sahihi kwa maisha yao,wasihukumiwe kwa kuishi maisha yao,hawana deni na mtu kufata "maadili ya dini,live ur life,and for JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala sake,let others live their life,the don't owe you any explanation.
Kwenda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmbea umefika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani we jamaa unaonekana wazi umetuma hata haujifichi [emoji23][emoji23]
Au ndo unaifia Imani mtumishi