Angel Benard aolewa mara ya pili

Angel Benard aolewa mara ya pili

Mfano sasa hivi Kanisani ninapo sali ukitaka kumuona padri kuna sekretari mama wa makamo,anakuhoji na kukutizama mavazi yako then anakuruhusu. Hii kidogo inasaidia lkn hii kurupu unataka kumuona mtumishi,hii ndio inawapaga wakati mgumu watumishi.
Ha ha hata hao hao ma sekretary wanajiseviaga humo humo, mie niliongoza sana Viwawa na nilikuwa karibu sana na sister japo nilikuwa bint mdogo lakini alikuwa rafiki nilikuwa naona vituko, sahizi nikikumbuka huwa nasikitika sana, Mungu awalinde na kuwatunza watumishi wake.

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Nick ALIGOMBANIWA? Na wanawake???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaaa mbona unacheka
 
Ha ha ha ha ha mbavu zangu, ndiyo shida hiyo anakuwa na stress za ndoa hivyo sehemu yakuzitolea ni hapo tu.[emoji23]

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
But why [emoji2][emoji2][emoji2]Hana pa kujishikia...
Ukiwa na Ndoa chungu utajua hujui na mwanaumee km hakupendi ht ufanyeje ,halainiki ng'ooo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1]dahh

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Yaani mie mtu anaye jimwambafy kuhusu ndoa huwa namtizama tu, hajielewi kwasababu kila ndoa inajanga lake, kuna wengine akikusimulia unasema afadhali mimi maana unakuta mtu anavumilia tu wanaishi kama kaka na dada humo ndani nje Mme na mke, Mke anatunza heshima tu .

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom