Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Shem tuombe. Sijui familia yake ina hali gani!Mhhhhh nilikuwa napuuzia, now this is serious!
Tuliache kama lilivyo Shem.Shem tuombe. Sijui familia yake ina hali gani!
Pascal Mayalla ulikuwa sahihi kakaWanajamvi,
Makamu wa Rais, Dr Phillip Mpango alikuwa awe mgeni rasmi wa mkutano wa TAWIRI unaofanyika Dodoma, hata hivyo amewakilishwa na Angella Kairuki.
View attachment 2834679
Dkt. Philip Mpango anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi wa Mkutano wa TAWIRI, Dec 6-8
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wa Mkutano wa TAWIRI unatarajia kufanyika kuanzia Disemba 6 hadi 8 jijini Arusha.www.jamiiforums.com