Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
Mke wa mtu unamtakia niniHuyu ni mmoja wa wanasiasa aliyeongoza kwa kubadilishiwa Wizara karibu tatu katika miaka mitano ya Hayati Magufuli.
Mara ya mwisho kumuona ni kabla ya uchaguzi wa 2020.
Ningependa kujuza alipo kwa sasa anafanya nini?
Kwamba si waziri tena!?Nadhani atakua China
Bwana ake ni balozi ChinaKwamba si waziri tena!?
Yes analea mtoto wa marehemuAnalea
HaaYes analea mtoto wa marehemu
Ni waziri wa malezi na wakina mama.Kwamba si waziri tena!?
Lisemwalo lipo, hakuna siri ya wawili dunianiHivi ni kweli alizaa na Jiwe...
Huyu mama watumishi hawaji msahau kamwe... She is Evil
China kwa mumewe hahaha, mwendazake alikuwa na mambo aiseeNadhani atakua China
..wewe utakua cheti feki ππ. Ndio wanaongoza kumchukia magufuli.MaCCM na matendo ya hovyo, hawataenda mbinguni. karudisha shombo kwa mumewe na mtoto wa kirundi juu, na maisha yanaendelea.ππππ
Atakuwa ukweni chato