Angela Kairuki yupo wapi kwa sasa?

Ummy alipewa uwaziri
Kairuki alipewa uwaziri
Joketi UDC
Sundi Ukaguzi wa migodi

Alikuwa anawakumbuka sana.
kwa hiyo huyo alokuwa anapigiwa simu usiku wa manane kipindi cha corona ile corona ilikuwa geresha tu kumbe wana mambo yao 🤦‍♂️
 
Ila Jiwe ni kitu kimoja tu alifanikisha maishani mwake ni kwa kugonga huyu superlady. Hii ni everlasting legacy kaacha.

Mwacheni alale mahala pema JPM

Halafu Maghayo kumbe bado hujawajua wanawake eeeh
 
Huyu kawekwa na mwanaume gani Dr. Asha-Rose Migiro
 
Anjela dhambi kubwa alotenda kumshauri Meko ktk zoezi la fukuzafukuza vyeti feki na darasa la Saba haitamuacha salama ilitakiwa busara km walivopotezea mzee Mkapa na JK
 
Chadema imekuwa kama vile vigenge vya wanawake wambea kusema watu, yaani kuna mijitu humu ina midevu na goroli zake 2 zimening'iniza yanapiga umbea kusema watu kama mabinti🤣😂🤣, wewe kama ametembea na flani we inakuuma nini? Kama amezalishwa si kapenda yeye? Halafu ukiambiwa uthibitishe kumbe na wewe umesikia kwa mtu, yaani kama wanawake wale wambea waliokosa kazi...

Aisee mnaudhi sana, hebu tuzungumzie mambo mengine sio kusema watu kama wanawake wa uswahilini dume zima na kende zako una discuss maisha ya watu..
 
Na akina nani ambao aliwaondoa kwa kinyimwa
Hatujui kwa uhakika. Lakini.hao angalao kuna uhakika alikuwa nao. Wawili, miongoni mwao, alibahatika kuzaa nao. Japo huyo mmoja kuna ukakasi maana ni mke wa mtu.

Mzee Lusinde akionesha kufadhaishwa na kitendo hicho, aliandika, 'siyo vizuri kutumia cheo chako kumnyang'anya mwenzako mke wake". Na hata huyo mwingine, alimpa mimba akiwa mwanafunzi wa kidato cha 6. Nayo, tena kwa nafasi yake, wakati huo akiwa waziri, haikuwa hakibwala busara.
 
Anjela dhambi kubwa alotenda kumshauri Meko ktk zoezi la fukuzafukuza vyeti feki na darasa la Saba haitamuacha salama ilitakiwa busara km walivopotezea mzee Mkapa na JKwe jamaaa nawe utaw
we nawe itakuwa ulikuwa una cheti feki sio bure
 
Mkuu kwa kujibu tu inaonyesha we mwenyew unapenda umbea
sie tuliosoma saokolojia tushakumanya🤣
 
mkuu inaonekana una confidence na taarifa zako utadhan gerson msigwa
 
Mkuu kwa kujibu tu inaonyesha we mwenyew unapenda umbea
sie tuliosoma saokolojia tushakumanya🤣
Huu ni umbea na hakuna facts wala habari zilizothibitishwa, wale wanawake wa uswahilini ndio kazi zao hizi, we unasema kawapa mimba, we ndie ulikuwa kitanda kipindi wanadinyana? We ndiye ulikuwa daktari kumpima DNA mtoto, humu kutakua na mabwabwa and soon yatapakuliwa..
 
Ila wewe jamaa una Majungu sana. Na ndio sifa ya wabongo wengi Majungu, uzushi, fitina na roho mbaya. Yaani kuzusha tuuu. Mkiona mwanamke mzuri anafanikiwa basi ndio kama hivi kuzusha tu. Japo najua Mwanamke yeyote mwenye mvuto kama Angela lazima atengenezewe Majungu popote atakapopita .

Kuhusu Mtoto aliyezaa mmemuona anavyofanana.

Lambati sikujua wewe ni Jungulist kiasi hiki. Ninashaka hata kazini kwako ni shida. Hata mtaani unakoishi I doubt
 
Mmeanza 😂😂😂 wabongo mna nongwa
 
Wengi tu ambao siyo CHADEMA wamechangia humu. Wacha generalization.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…