manchoso
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 1,605
- 2,055
kwa hiyo huyo alokuwa anapigiwa simu usiku wa manane kipindi cha corona ile corona ilikuwa geresha tu kumbe wana mambo yao 🤦♂️Ummy alipewa uwaziri
Kairuki alipewa uwaziri
Joketi UDC
Sundi Ukaguzi wa migodi
Alikuwa anawakumbuka sana.