Angela Kairuki yupo wapi kwa sasa?

Dem ni mtam huyu asikwambie mtu.
 
Jide hakukosea, mianaume ya siku hizi yani ni kama mabinti tu. Badala ya kushughulikia masuala ya msingi watu wanakuja jf kupiga umbea. Too bad!
Tusitafute watu waliopotea!? Kosa letu nn hapa, kumuulizia madam na hatujamwona siku nyingi!? Mbona mafala sana nyie watu
 
Mwendazake alikuwa ana Pumzika na kula sehemu nzuri sana.

Code nyepesi sana hii, sihitaji ufafanuzi
 
Tusitafute watu waliopotea!? Kosa letu nn hapa, kumuulizia madam na hatujamwona siku nyingi!? Mbona mafala sana nyie watu
Kati ya dume anayepiga umbea na asiyepiga umbea fala ni nani sasa hapo?
Wanaume kama mabinti 🎢 - Jide
 
Laana za familia alizovuruga maisha yao hazitamwacha. Huyu mwanamama sijui aliona watanzania Kama vitoi.

Wakati huo ulikuwa wakati wake wakutesa, Leo vipi Tena. Ni vizuri akaenda kumshauri huko aliko pia.
 
MMAMAA SAMIA RUDISHA HIZO ......NCHINI ZIMETUCHEZEA SANA HUKI CHINA KHA
...WAMO
...WAMO
 
Mfano mzurimdogo Ni Prof. Anna Tibaijuka
 
Nadhani Kamata alimnyima
 
Weka ushahidi, vinginevyo majungu.
Endelea hivyo hivyo sukuma gang....bado wanawrweseka mungu wao kaenda.....
Sasa jiwe na ile pace maker alikuwa anauweza muziki wa yule Dada?!!!
Ukiwa boss wanakubembeleza .....one min anaondoka kaacha 20mik hapo...za kujikimu anaenda zake...anachafua tu ....unafikiri kuna cha maana wadasa wana siri nyingi za ma boss na wazee
 
MaCCM na matendo ya hovyo, hawataenda mbinguni. karudisha shombo kwa mumewe na mtoto wa kirundi juu, na maisha yanaendelea.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Khaaaa[emoji849][emoji849][emoji134]
 
Kwann alikuwa bahili
 
Wanawake wengi connection yao iliyowasaidia kufika juu ni K. Wametumia uchumi wa kati kufika kwenye mafanikio, kama huamini kazi kwako. Wamejazana serikalini kibao hakuna kinachofanyika ni mipasho tu.
 
MaCCM na matendo ya hovyo, hawataenda mbinguni. karudisha shombo kwa mumewe na mtoto wa kirundi juu, na maisha yanaendelea.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Uzuri utetezi upo yani! Kama walipendana kweli wataendelea sababu mwanamke alimshirikisha mumewe katika janga hilo!

Sio kwa kupenda ila alifosiwa sana na mikwara kuwa na mumeo tutamfuta kazi ukigomea hilo! Sometimes wanaume inabidi tujifunze kuwa na roho za chuma tu!

Inakuja jumbe tu unataka kazi au hutaki na mumeo wote mtarudi benchi πŸ˜‚! Mtt lazma ajitetee hivi mwacheni akaombe msamaha huko uchinani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…