Wanawake wa kiafrika wanapenda sana kubebwa na wanaume kwa kutumia mahaba kama qualification criterion.
Angalia wanawake wote walio ktk nafasi zenye ushawishi mkubwa katika nchi hii lazima utakuta nyuma yake kuna mwanaume, anzia juu kabisa kushuka chini.
Hakuna mwanamke anayeweza kufika kileleni bila kusaidiwa na mwanaume, kama yupo mniambie ni nani na uangalie usiropoke usije ukaumbuka bure humu.
Huyo anayesemwa humu hayuko peke yake, wanawake wote, hasa wa kiafrika, hiyo ndio hulka yao. Tuseme tu ukweli, isingekuwa mwanamme leo hii tusingekuwa na rais mwanamke, watu wazima watanielewa. So please leave Angela alone.