Angela Kiziga alichota bil 45+ peke yake bila kutoa mgao ?

Walimu tunahangaika sana
. Tunaishi kwa kutegemea mshahara tu. Ukiiba boksi la chaki kinaumana shule nzima.

Wenzetu wanajichotea mabalions of cash.

Lakini mtu anaweza kupiga bil 45+ bila kuwa na mtandao ambao atagawa mgao?
Hapo watu kibao, wamepata mgao, Waziri wa fedha na naibu wake, Katibu mkuu hazina, Wizara mambo ya ndani waziri na naibu wake na katibu wao IGP....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…