Angela Kiziga alichota bil 45+ peke yake bila kutoa mgao ?

Angela Kiziga alichota bil 45+ peke yake bila kutoa mgao ?

Kajuwa kutumia connection
Kawanyoosha mpk manjagu 😄
Mama 🫡

Ova
 
Walimu tunahangaika sana
. Tunaishi kwa kutegemea mshahara tu. Ukiiba boksi la chaki kinaumana shule nzima.

Wenzetu wanajichotea mabilions of cash.

Lakini mtu anaweza kupiga bil 45+ bila kuwa na mtandao ambao atagawa mgao?
Hayati JPM alijua kucheza na akili za mtanzania wa kawaida. Aliweza kuaminika kwa matendo yake akiwa waziri wa ujenzi, alikuwa karibu na wabeba zege, karibu na mafundi wa madaraja akawa mzalendo mpaka mioyoni mwetu.

Lakini hakuwa msafi hata kidogo alikuwa mpigaji tu kama wapigaji wote tunaowafahamu. Huyo Kizigha anayechafuliwa aliwahi kupata tenda ya kuwavalisha nguo polisi. JPM alipoingia ikulu akamkuta huyo mama anafanya hiyo shughuli akampora tenda akawapa wachina ambao waligawana nae asilimia za mauzo.

Kama haitoshi akampora pia tenda ya kuwavalisha nguo askari magereza, tenda zote aliziendesha yule jamaa aliyekuwa na mustachi jamaa fulani mweupe muda mwingi akisimama nyuma yake kuna kipindi akimuongezea maji kwenye glasi yake. Yule jamaa ndiye aliyesimamia biashara za JPM za kuwavalisha mapolisi na magereza baada ya kumpora huyo Mama na kuchukua yeye kibabe tu.

Kafa JPM yule mama akapeleka madai yake kwa mwanasheria mkuu, alipotazama suala zima kwa kina kagundua Magufuli hakumtendea haki mwanamama Kizigha kwa muda wote ambao biashara ilijulikana inamilikiwa na wachina kumbe JPM ni sehemu ya wafaidikaji kwa mlango wa nyuma.

Kuna vita katika hiyo biashara. Yupo Lugumi na yupo Kizigha. Huyo Mange anamchafua Kizigha pengine ni kwa sababu keshakatiwa mpunga na Lugumi.

Unaweza kumtazama mwanasiasa ukadhani ni malaika kwa namna anavyoelezewa na media, baadae ukagundua anao ubaya mwingi na dhuluma anazifanya bila hata ya kusikitika kwamba anayemuumiza ni binadamu mwenye haki ya kumlilia Mungu.
 
Back
Top Bottom