AstaghafiulilahAlafu hilo mama lina onekana lina jivi la hatari
Ni nani huyu?huyu mwana mama shoka sana
Kawapiga mpk manjagu 😄
Ova
Utafungwa kula na wenzakoMi hata ingekua b 500 ningepiga pekeangu,,,,
Jpm alichukua bilioni 10 na Pole pole milioni 500
IUtafungwa kula na wenzako
Ova
Lazima mgao ufike kwa wakubwaWalimu tunahangaika sana
. Tunaishi kwa kutegemea mshahara tu. Ukiiba boksi la chaki kinaumana shule nzima.
Wenzetu wanajichotea mabilions of cash.
Lakini mtu anaweza kupiga bil 45+ bila kuwa na mtandao ambao atagawa mgao?
Waalimu Tz wana maisha mazuri sana. Ndio wapishi wa zile kura za kishindo za ccm 🤣🤣Kwa WALIMU, Labda ucheze AVIATOR😢