Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,499
- 25,295
Jiulize hapo halmashauri mtu anaweza kuiba pesa tuseme DEO anaweza kuiba pesa bila kumshirikisha DT na DED ??Walimu tunahangaika sana
. Tunaishi kwa kutegemea mshahara tu. Ukiiba boksi la chaki kinaumana shule nzima.
Wenzetu wanajichotea mabilions of cash.
Lakini mtu anaweza kupiga bil 45+ bila kuwa na mtandao ambao atagawa mgao?
Kabisa mkuu watu wanaishi wengine wanapiga Trillion kadhaa. Kitaani ukiwa na asset za mil 500 unajiona tajiri kumbe kuna mafogo wa mjiniB 45? Is a lot of money bro
😆😆😆😆Walimu tunahangaika sana
. Tunaishi kwa kutegemea mshahara tu. Ukiiba boksi la chaki kinaumana shule nzima.
Wenzetu wanajichotea mabilions of cash.
Lakini mtu anaweza kupiga bil 45+ bila kuwa na mtandao ambao atagawa mgao?
Hivi yupo huyu jamaa?
Pamoja na yooooote, ila huyu mama kabarikiwa shingo.
Nimeipenda sana shingo yake.
Macho yake ya goroliiiii,
SHINGO YAKE YA UPANGAAAA
Huyu sasa ndy iron lady 😄Kwani ni nani huyo,ananafasi gani
Unamuulizia nani?Kwani ni nani huyo,ananafasi gani
Huyu ni Rostam wa kike, nafasi yake ni upigaji.Kwani ni nani huyo,ananafasi gani
Oya hatufanani mkuu kuna binadamu wengine wapo kwa ajili ya kupata tabu tu hapa duniani..yaani haya uangaike vipi hupati deal lolote la maana na ukisema ufanye magendo wewe ndio unakuwa wa mfano.Walimu tunahangaika sana
. Tunaishi kwa kutegemea mshahara tu. Ukiiba boksi la chaki kinaumana shule nzima.
Wenzetu wanajichotea mabilions of cash.
Lakini mtu anaweza kupiga bil 45+ bila kuwa na mtandao ambao atagawa mgao?
🤣Oya hatufanani mkuu kuna binadamu wengine wapo kwa ajili ya kupata tabu tu hapa duniani..yaani haya uangaike vipi hupati deal lolote la mana na ukisema ufanye magendo wewe ndio unakuwa wa mfano.
Acha tu..
Atakuwa amegawana na shosti wake huoni hata watoto wao wakipiga dili wanagawana nyara.Walimu tunahangaika sana
. Tunaishi kwa kutegemea mshahara tu. Ukiiba boksi la chaki kinaumana shule nzima.
Wenzetu wanajichotea mabilions of cash.
Lakini mtu anaweza kupiga bil 45+ bila kuwa na mtandao ambao atagawa mgao?
Bado umeniacha kwenye mataa mkuu.Huyu ni Rostam wa kike, nafasi yake ni upigaji.
Mkwere hajagonga hapa?
Se.a kikwete ni baltasar wa kisirisiri