Nashengena
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,913
- 5,318
Hayo ni mawazo finyu kwa nchi zetu maskini, ndio maana watu wanazaa watoto wanashindwa kuwatunza tunaishia kuwa na kizazi cha ajabu kabisa. Mtu unazaa watoto kumi halafu unashindwa kuwatunza anaishia kutegemea wengine.Soma literature ujue factors za kuzaa watoto wengi! Caldwell ndiye enzi hizo anaeleza njia za kupunguza population!
Naomba nikueleze hata factors za Kuoa wanawake wengi katika nchi zetu maskini ni kupata cheap labour. Si migegedo kama mnavyoamini.
kabla ya hizi shule etc wanaume walio ili wapate Watoto na Watoto wawape social security wazazi wao wakizeeka. Jinsi ya kupunguza vizazi hata kwa wenzetu ilikuwa ni serikali zao kutoa social benefits, nyumba za wazee ili mtu aone hakuna haja ya kuzaa Watoto wengi.
Kwa muktadha huo, sisi watu maskini hatuzai bila malengo. Tunazaa na kuhangaika na Watoto ili hapo baadaye watufae.
Hapa JF Naona madogo wanajitoa ufahamu kiasi wanadai wazazi wao ndiyo wanapaswa kuwatunza na pumbu zao Mpaka wafe! This is wrong, mzazi ni investor, anainvest kwako. Although mara nyingi tumekuwa bad investment- tunakuwa mizigo kwa wazazi wetu.
Nenda moshi uone, mzazi asiye na kijana nje ya moshi anavyoadhirika wakati wenye Watoto nje, wanavyofurahia maisha kutokana na remittances!
Zaa watoto unaoweza kuwatunza hata kama ni mmoja, mpe malezi na mazuri. Watu wengi huko vijijini wamezaa watoto wangi lakini ukiangalia maisha wanayoishi yanatia huruma. Mtoto anakuja mjini hana mtaji wala nini anaishia kuwa na maisha magumu, anashindwa hata kumsaidia mzazi hela ya matumizi.