Angelina Jolie aanza kusumbuliwa na Mama wa mtoto aliyemuasili

Duh,pole
Ila Mungu anaona moyo wako atakulipia tu,hatowaacha wanao kamwe!
Na vituo vya watt yatima ndo km hivi,kumbe Kuna waongo pia🙌
 
Kabisaa
Mi nasema Kila wakati
Kwann uzae 10 uwape shida? Au utegemee watu wengine eti wakusaidie kulea?.
Huu upumbavu kabisa sitaki hata kusikia,zaa watt unaoweza kulea
 
Waafrica sisi si wapubavu tu sijawahi kuona mwafrica kaenda kuadopt Mtoto asiye na undugu naye sijui kwanini?mwafrica ili ampende Mtoto lazima awe wake WA kumzaa , tofauti na hapo ni matatizo matupu
 
Wabongo mna maneno kibao usikute tofauti na uhalisia, Angelina jolie hawezi kumwachacha iyo maza ivi ivi lazima kamsaidia pia kuinua life yake ,Hana roho kama zenu😀
 
Huyo sio mchungaji wa kanisa la Ebenezer tabata segerea kwasababu nae alifanya mchezo mchafu wa namna hiyo [emoji23][emoji23] hali iliyoleta mpasuko kanisani kwao
 
[emoji23][emoji23] Jeff Bezos ni bilionea wa mabilionea lakini baba yake wa DNA kafa masikini kabembeleza na kaomba msamaha mpaka kachoka, kaomba msaada hajapewa hata senti, katuma barua za kuomba kuonana na Jeff mpaka kachoka alichojibiwa ni "sikutambui" shortly. Anayetafuna utajiri wa Jeff Bezos sasa ni baba mlezi wa kufikia [emoji23][emoji23] baba wa DNA alisaini divorce ya kumuacha mama yake, baba wa kufikia baada ya kumuoa mama yake, akamwambia mama yake nenda kwa x-husband wako umwambie na mtoto hasihusike nae tena na asaini kiapo ili jamaa apate mamlaka ya kumlea Jeff kwa 100% pia ili kuepuka usumbufu baadae kuhusu mtoto na mkewe asimdai child support ex-husband.

Wazungu hawana upuuzi huo kama hamna bond hana muda mchafu na wewe hata iweje,huyo binti hata uwezo wa kufikiria kuhusu maisha na tafsiri zake sio za kiafrika ideologically atakuwa kama mzungu 100% mbaya zaidi kakulia kwenye familia tajiri.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ukute hakumbaka wala nini.. kwenye migogoro ya mahusiano usiamini maneno ya mwanamke bila kumsikiliza na mwanaume pia
Tena kama alikuwa anatoka familia duni ndio kuzidi, ni wanawake wachache sana wazuri na warembo waliotoka familia masikini wakawa wakweli wengi wana mawenge na wana wingi wa habari mjini, umasikini usikie tu.
Unaweza kuta alikuwa na mabwana wengi baada ya kusema ana mimba wana wakaanza kumkwepa akaona hana namna, alipojifungua kamuacha mtoto kwa bibi yeye akaenda kudanga mbele kwa mbele akiamini kupitia udangaji atatoboa, sasa muda wa kudanga umeisha, injini imeshachakaa hana maajabu, wanaume wanamkwepa njaa na umasikini alioamini akilea mtoto utazidi, matokeo yake umemrudia mara dufu, unaweza kuta katoa mimba kibao ili asije zaa tena kimakosa akapoteza timing ya kudanga sasa anajutia.
Siku zote neno "ningejua huja mwisho wa safari"
 
Inategemea roho ya mtoto, Kuna mtoto mama yake alipewa mimba baada yakuwa kaenda mikoa ya bara huko zamani, na kurudi kwao pwani na mimba yake, kalea mtoto kwao mpaka mtoto kakua mkubwa na sasa baba wa watoto wa tatu, na Sasa wanaishi state, Cha ajabu yule kijana kamtafuta mwenyewe baba yake mpaka kampata, damu nzito.
 

Alivyompata ikawaje?
 
Alivyompata ikawaje?
Anatuma msaada, siku taka kuweka uwazi, ni baba yangu, na hakituona online anachati na sisi vizuri tu, na Mara nyingi anaongea na mzee wetu, na sisi hatumuombi kitu Wala nini, na akijaga bongo anatua kwa sister ndio anaenda kule pwani kwao mpaka home kwa mzee.
 
Kuna probability akawa na mawazo ya kizungu lakini kumbuka mja hakosi asili.
 
Baba yako anajisikiaje kumtelekeza mtoto?
 
Waafrica sisi si wapubavu tu sijawahi kuona mwafrica kaenda kuadopt Mtoto asiye na undugu naye sijui kwanini?mwafrica ili ampende Mtoto lazima awe wake WA kumzaa , tofauti na hapo ni matatizo matupu
Wapo mkuu
Ila wachache...

Mitoto yenyewe unakuta ikishakua ndugu wakianza kuwatafuta wanakua na dharau
Na wakati mwingine km unavyosema wengi kuwapenda watt waliowazaa kuliko qa mtu mwingine.

Ila mi Bora nileee mtt Baki kabisa nisie na undugu nae au ambae hana ht wazazi kuliko kulea ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…