Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
🤣🤣🤣Mkuu hutaki kuwa mtoto ana adabu, upole na utu! Kifupi Dr. Mariposa hao ni majirani zake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Mkuu hutaki kuwa mtoto ana adabu, upole na utu! Kifupi Dr. Mariposa hao ni majirani zake
Duh,poleMkuu kwa wabongo tunafanya au tuliwahi fanya hiyo mambo lakini kwakweli wabongo ni tatizo.
Mimi niliwahi kuasili watoto 3 wawili walikuwa ndugu na mmoja ni wa familia nyingine
Tatizo lilikuja pale wale wawili walipo fika chuo kikuu wana boom akijitokeza mtu kuwa ni mzazi wao na mambo kibaaao!
Nilipata usumbufu wa kila aina ikabidi niache watoto waamue kwasababu tayari ni wakubwa.
Akabaki 1 ambae sasa yupo kidato 4 huyu nae mlezi wake akaanza longolongo kwakuwa sipendi vyesi nikamburuza Ustawi wa jamii kwasababu sikumchukua mtoto kienyeji. Akasalim amri amuache mtoto asome Mtoto ataamua pa kwenda akifikisha miaka 18.
Kuasili watoto wa watu wasiojielewa ni mtihani.
Ukitaka kuasili nenda kaasili kutoka vituo vya watoto yatima tofauti na hapo fanya shughuli nyingine za kusaidia wasiojiweza. Lakini usiali mtoto mwenye wazazi hatakama hajiwezi kupindukia.
Wizooo🔥Stori na picha
🤣🤣🤣Akuuu
We kuweza kurudi ethiopia🤣
KabisaaHayo ni mawazo finyu kwa nchi zetu maskini, ndio maana watu wanazaa watoto wanashindwa kuwatunza tunaishia kuwa na kizazi cha ajabu kabisa. Mtu unazaa watoto kumi halafu unashindwa kuwatunza anaishia kutegemea wengine.
Zaa watoto unaoweza kuwatunza hata kama ni mmoja, mpe malezi na mazuri. Watu wengi huko vijijini wamezaa watoto wangi lakini ukiangalia maisha wanayoishi yanatia huruma. Mtoto anakuja mjini hana mtaji wala nini anaishia kuwa na maisha magumu, anashindwa hata kumsaidia mzazi hela ya matumizi.
Huyo sio mchungaji wa kanisa la Ebenezer tabata segerea kwasababu nae alifanya mchezo mchafu wa namna hiyo [emoji23][emoji23] hali iliyoleta mpasuko kanisani kwaomkuu upo sahihi kabisa kuna mchungaji mmoja wa haya makanisa ya kiroho aliwadanganya wafadhili kuhusu watoto waliokuwa wanataka msaada, badala ya kupeleka wenye uhitaji akapeleka watoto wake, watoto wakawa wanasomeshwa english medium za hela ndefu, wanoko wakaenda kutibua mchezo, watoto wakasitishiwa ufadhili, ikabdi mchungaji awarudishe st kayumba.
[emoji23][emoji23] Jeff Bezos ni bilionea wa mabilionea lakini baba yake wa DNA kafa masikini kabembeleza na kaomba msamaha mpaka kachoka, kaomba msaada hajapewa hata senti, katuma barua za kuomba kuonana na Jeff mpaka kachoka alichojibiwa ni "sikutambui" shortly. Anayetafuna utajiri wa Jeff Bezos sasa ni baba mlezi wa kufikia [emoji23][emoji23] baba wa DNA alisaini divorce ya kumuacha mama yake, baba wa kufikia baada ya kumuoa mama yake, akamwambia mama yake nenda kwa x-husband wako umwambie na mtoto hasihusike nae tena na asaini kiapo ili jamaa apate mamlaka ya kumlea Jeff kwa 100% pia ili kuepuka usumbufu baadae kuhusu mtoto na mkewe asimdai child support ex-husband.Inaonesha bado wewe una akili za kitoto. Ubinadamu ni tofauti na makaratasi. Mtoto kimakaratasi ataitwa wa Angelina ila yeye atajua nilipita katika K ya muethiopia. Kitendo cha kukaa naye tumboni kwa miezi 9 ni cha muhimu maana kama asingetaka angeaboti. Ujue. Damu nzito kuliko maji bwashee
Tena kama alikuwa anatoka familia duni ndio kuzidi, ni wanawake wachache sana wazuri na warembo waliotoka familia masikini wakawa wakweli wengi wana mawenge na wana wingi wa habari mjini, umasikini usikie tu.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ukute hakumbaka wala nini.. kwenye migogoro ya mahusiano usiamini maneno ya mwanamke bila kumsikiliza na mwanaume pia
hapana mkuu, niliyemuongelea ni wa arusha.Huyo sio mchungaji wa kanisa la Ebenezer tabata segerea kwasababu nae alifanya mchezo mchafu wa namna hiyo [emoji23][emoji23] hali iliyoleta mpasuko kanisani kwao
Inategemea roho ya mtoto, Kuna mtoto mama yake alipewa mimba baada yakuwa kaenda mikoa ya bara huko zamani, na kurudi kwao pwani na mimba yake, kalea mtoto kwao mpaka mtoto kakua mkubwa na sasa baba wa watoto wa tatu, na Sasa wanaishi state, Cha ajabu yule kijana kamtafuta mwenyewe baba yake mpaka kampata, damu nzito.
Anatuma msaada, siku taka kuweka uwazi, ni baba yangu, na hakituona online anachati na sisi vizuri tu, na Mara nyingi anaongea na mzee wetu, na sisi hatumuombi kitu Wala nini, na akijaga bongo anatua kwa sister ndio anaenda kule pwani kwao mpaka home kwa mzee.Alivyompata ikawaje?
Kuna probability akawa na mawazo ya kizungu lakini kumbuka mja hakosi asili.[emoji23][emoji23] Jeff Bezos ni bilionea wa mabilionea lakini baba yake wa DNA kafa masikini kabembeleza mpaka kachoka, kaomba msaada hajapewa hata senti,katuma barua za kuonana na mwanae mpaka kachoka alichojibiwa ni sikutambui, anayetafuna utajiri wa Jeff Bezos sasa ni baba mlezi wa kufikia [emoji23][emoji23] baba wa DNA alisaini divorce ya kumuacha mama yake baba wa kufikia baada ya kumuoa mama yake, akamwambia mama yake nenda kwa x-husband wako umwambie na mtoto asihusike nae ili jamaa apate mamlaka ya kulea 100% na kuepuka usumbufu ukubwani kuhusu mtoto na mkewe asimdai child support ex-husband.
Wazungu hawana upuuzi huo kama hamna bond hana muda mchafu na wewe hata iweje,huyo binti hata uwezo wa kufikiria kuhusu maisha na tafsiri zake sio za kiafrika ideologically atakuwa kama mzungu 100% mbaya zaidi kakulia kwenye familia tajiri.
Baba yako anajisikiaje kumtelekeza mtoto?Anatuma msaada, siku taka kuweka uwazi, ni baba yangu, na hakituona online anachati na sisi vizuri tu, na Mara nyingi anaongea na mzee wetu, na sisi hatumuombi kitu Wala nini, na akijaga bongo anatua kwa sister ndio anaenda kule pwani kwao mpaka home kwa mzee.
🤣Biblia inaniambia🤣🤣🤣
Huko ni kutafutana lawama ukatae kurudi upewe laana...
Wapo mkuuWaafrica sisi si wapubavu tu sijawahi kuona mwafrica kaenda kuadopt Mtoto asiye na undugu naye sijui kwanini?mwafrica ili ampende Mtoto lazima awe wake WA kumzaa , tofauti na hapo ni matatizo matupu
Kwa hiyo Zahara yupo Salama?🤣Biblia inaniambia
Laana isiyo sbb haimpati mtu