Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Amemtafuta sababu binti ameng'aa, lasivyo asingehangaika hata kujua alipo.unafanya mchezo na damu yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amemtafuta sababu binti ameng'aa, lasivyo asingehangaika hata kujua alipo.unafanya mchezo na damu yako
Kama aliweza kumtelekeza, maana yake hakujali kama ataishi au la. Anapata wapi ujasiri wa kutaka kuongea nae sasa hivi, ingekuwaje kama angekufa?, Mama Zahara akatoroka nyumbani na kumuachia mtoto bibi yake, bibi nae kwa hofu ya kumkosa mtoto kutokana na lishe duni akampeleka kituo cha kulea watoto yatima na kuomba msaada wampokee mtoto, atakufa kwa njaa,
Jolie ana nafasi yake ktk thamani ya binadamu.Angelina Jolie aliadopt mtoto wa kwanza wa kiume nchini Cambodia, akaja kuadopt mwengine wa kiume nchini Vietnam, akaja kuadopt mtoto mwengine wa kike nchini Ethiopia, hakua peke yake kwenye safari hiyo alikua na aliyekua mumewe Brad Pitt waliadopt wote,
Kwa mtoto wa Ethiopia jina lake Zahara, Angelina alimkuta kituo cha kulea watoto yatima akiwa ana miezi 7 tu, wahusika wa kituo wakamwambia mtoto yule ni yatima wazazi wake walifariki kwa virusi vya Ukimwi, huruma ilimjaa Jolie na kuamua kumchukua kwa taratibu zote stahiki,
Ukweli ukaja kujulikana miaka mitatu baadae, mama mzazi wa Zahara alikua hai, ni binti aliyepata ujauzito kwa kubakwa, huku akiishi na bibi yake na mjomba wake wakiwa katika maisha ya ufukara, baada ya kumzaa Zahara hali ilizidi kua mbaya, Mama Zahara akatoroka nyumbani na kumuachia mtoto bibi yake, bibi nae kwa hofu ya kumkosa mtoto kutokana na lishe duni akampeleka kituo cha kulea watoto yatima na kuomba msaada wampokee mtoto, atakufa kwa njaa,
Mama mtoto alichokiomba ni kuongea na mwanae hata kwa njia ya simu, kumjulisha kua ana familia Ethiopia na mama yake hajafa pia anampenda sana.
Wala hakutaka kumchukua ampeleke wapi na umaskini bado umemtawala.
Waliosema, "umaskini ni laana", wapo sahihiSanaaa,
Umaskini hatutakiwi kabisa kuukumbatia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora hata yeye anatamani ku adoptiwa tu, huku kwetu tuna Baba Levo alitaka kumzalia Boss wake[emoji3][emoji3]
Nimevipenda viatu vya mama Zahara.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila sis Una nn wee lakini??Ndiyo Cuzoo...
Sasa hivi Anamuita Mond Daddy na Zuch ni Mumy[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii Dunia ni ngumu sana Wallah...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimechekaa sana Cuzo, hii Dunia au tuimarinate na tangawizi Nini mbona ngumu hivi???
Sasa baba kama yule kuendekeza njaa Hadi kujitoa akili maana yake Nini?
Afu ndo arudi huko uhabeshini, wee thubutuuu.Stori na picha
Ndo mnachowazaga wabongo, mxxxiiieeewKumlea vizuri au kumlisha vizuri
Usije kushangaa ukisikia ana mpenzi ambaye ni mwanamke mwenzie
Wazungu ni wa ovyo sometimes.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akikujibu nitag.Ninyi ambao mnalea watoto wenu vizuri mmefika wapi huko duniani? Zaidi ya hao hao wa hovyo ndio wanaowaletea misaada hadi nguo.
Tupe namba ya uyo bintUmaskini hauna adabu kiranga. Mimi simlaumu mama yake kwa kumtelekeza kwa bibi.
Na Ethiopia kuna dhiki kali hakuna mfano.
Nimekumbuka kuna binti wa kihabeshi alikua mzuri mithili ya ajabu..alikua anabembeleza aolewe na ndugu yangu apate kubaki bongo akimbie dhiki za kwao. Noma sana haya maisha.
Na vumbi la miguu sijui alitoka kuswampa wapi wakampiga picha bila hata kunawa.Nimevipenda viatu vya mama Zahara.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na vumbi la miguu sijui alitoka kuswampa wapi wakampiga picha bila hata kunawa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akikujibu nitag.
Yaan umempa 1 kubwa, harudiii tenaa.[emoji23][emoji23][emoji23]
Atarudi na matusi
😀😀😀😀.Umasikini unanuka kuliko mzoga wa mbwa-Sirjeff.Zahara aanze kufanya mambo Remitly aisee .Na vumbi la miguu sijui alitoka kuswampa wapi wakampiga picha bila hata kunawa.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Dah kweli wabongo wape picha tu. Caption watamaliza wao.
usemalo ni kweli kabisa, mwenye maamuzi ya mwisho ni binti mwenyewe, biological mama wake anaposema binti ana familia africa na inampenda huo ni unafiki mkubwa. huwezi kumpenda mtu ukamtelekeza, ingekuwa mama yake mzazi ndo alimchukua na kumpeleka kwenye kituo cha kulelea watoto kutokana na maisha magumu ningemwelewa, lkn kitendo cha kumtelekeza kwa bibi yake siwezi kumwelewa kabisa. mama akae kwa kutulia, amwombe binti msamaha na asubiri reaction ya binti, asilazimishe uhusiano aliouvunja mwenyewe.Huyo Mama ni mpumbavu tu.
Sana sana ambacho angeweza kufanya ni kumuomba msamaha Binti yake tena hadharani, na Mengine amuachie Binti mwenyewe.
Ila kwa ujumla Mama wa kweli na WA halali wa Binti ni Anjela.