Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
KabisaaaaaKwa hiyo Zahara yupo Salama?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KabisaaaaaKwa hiyo Zahara yupo Salama?
Nitafanya mpango kwenda kuopoa mke huko Ethiopia.Umaskini hauna adabu Kiranga. Mimi simlaumu mama yake kwa kumtelekeza kwa bibi. Na Ethiopia kuna dhiki kali hakuna mfano.
Nimekumbuka kuna binti wa kihabeshi alikuwa mzuri mithili ya ajabu, alikuwa anabembeleza aolewe na ndugu yangu apate kubaki bongo akimbie dhiki za kwao. Noma sana haya maisha.
Pisi ya kihabeshiTunaomba picha za kutosha za Zahara akiwa na miaka 18 tumwone vizuri
Nakazia [emoji419][emoji375]Kuzaa tu hakukufanyi kuwa mama, kuzaa na kulea ndio sahihi ndio maana kuna mama mlezi.
Toto zuri kama hili la kishua ukidate naye hakuna habari za vizinga. Likizo zenu ni Bahamas, Hawaii na Ibiza mkiwa kwenye yachtPisi ya kihabeshiView attachment 2808761
Hizo Hela za kuendea Ibiza anatoa nani?au ndio Hilo toto?Toto zuri kama hili la kishua ukidate naye hakuna habari za vizinga. Likizo zenu ni Bahamas, Hawaii na Ibiza mkiwa kwenye yacht
Toto la kihabeshi linalipia kila kitu 😅Hizo Hela za kuendea Ibiza anatoa nani?au ndio Hilo toto?
🤣🤣🤣🤣Kama nakuona utavyogeuka chatu mhabeshi atalambwa kama anataka kumezwaToto la kihabeshi linalipia kila kitu 😅
Oyaa 🤣🤣🤣🙌🤣🤣🤣🤣Kama nakuona utavyogeuka chatu mhabeshi atalambwa kama anataka kumezwa
🤣🤣🤣Hatari kubwaOyaa 🤣🤣🤣🙌
Lazima ujitume usije kuachika 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hatari kubwa
Kisheria haki hiyo hana ya kulazmisha kuongea naye kwa sababu Mwenye haki ya kumruhusu ni mama yake zahara ambaye ni Angelina jolie (Kisheria) alikuwa wapi miaka yote hiyo? Aje arudi sasa hiviAngelina Jolie aliadopt mtoto wa kwanza wa kiume nchini Cambodia, akaja kuadopt mwengine wa kiume nchini Vietnam, akaja kuadopt mtoto mwengine wa kike nchini Ethiopia, hakuwa peke yake kwenye safari hiyo alikuwa na aliyekua mumewe Brad Pitt waliadopt wote.
Kwa mtoto wa Ethiopia jina lake Zahara, Angelina alimkuta kituo cha kulea watoto yatima akiwa ana miezi 7 tu, wahusika wa kituo wakamwambia mtoto yule ni yatima wazazi wake walifariki kwa virusi vya Ukimwi, huruma ilimjaa Jolie na kuamua kumchukua kwa taratibu zote stahiki.
Ukweli ukaja kujulikana miaka mitatu baadae, mama mzazi wa Zahara alikuwa hai, ni binti aliyepata ujauzito kwa kubakwa, huku akiishi na bibi yake na mjomba wake wakiwa katika maisha ya ufukara, baada ya kumzaa Zahara hali ilizidi kuwa mbaya, Mama Zahara akatoroka nyumbani na kumuachia mtoto bibi yake, bibi nae kwa hofu ya kumkosa mtoto kutokana na lishe duni akampeleka kituo cha kulea watoto yatima na kuomba msaada wampokee mtoto, atakufa kwa njaa.
Mama mtoto alichokiomba ni kuongea na mwanae hata kwa njia ya simu, kumjulisha kuwa ana familia Ethiopia na mama yake hajafa pia anampenda ningekuwwwala hakutaka kumchukua ampeleke wapi na umaskini bado umemtawala.
Hii kesi asubuhi tu anashindwaUkichunguza hapo huyo mama mzazi itakuwa keshakutana na wajanja wa mjini na kumwambia kuwa kuna uwezekano akapata bingo.
Huyo mtoto kama angeishia kwenye ufukara wa Ethiopia nina hakika mama wala asingekuwa na haja ya kutaka kumjua mtoto.
Ila kwa sasa hakuna anachoweza kuambilia hata kama akitaka kuleta janja janja. Binti tayari keshatimiza miaka 18.
Huyo juu ni mama yake au
Sasa kama unalipiwa kila kitu huko Maldives na toto zuri hivyo Kwa Nini usijitume bwana?Lazima ujitume usije kuachika 🤣🤣🤣
Sina presha ya vizinga tena ni shoo shoo tuSasa kama unalipiwa kila kitu huko Maldives na toto zuri hivyo Kwa Nini usijitume bwana?
Zingatia na chakula Ili usikonde😁Sina presha ya vizinga tena ni shoo shoo tu
Hakuna chochote, hakumtekekeza mtoto, yule mama aliondoka bara akiwa na mimba changa kurudi pwani kwao baadaye, wakaondoka ng'ambo na mama yake kaolewa na mmarekani, na mzee alihamishwa bara kuja mkoa mwingine, na Wala yule mama hakutafuta baba wa mtoto wake, mawasiliano zamani ya shida, na yule mama yake kamueleza story yote ilivyokuwa, ndomana kaenda wizara x, kuangalia kahamishiwa sehemu fulani na ye kufatilia, ye kataka kukutana na baba yake na kutufahamu basi na si kingine, nachowasilisha damu nzito kuliko maji.Baba yako anajisikiaje kumtelekeza mtoto?
Ana roho nzuri sana tuHakuna chochote, hakumtekekeza mtoto, yule mama aliondoka bara akiwa na mimba changa kurudi pwani kwao baadaye, wakaondoka ng'ambo na mama yake kaolewa na mmarekani, na mzee alihamishwa bara kuja mkoa mwingine, na Wala yule mama hakutafuta baba wa mtoto wake, mawasiliano zamani ya shida, na yule mama yake kamueleza story yote ilivyokuwa, ndomana kaenda wizara x, kuangalia kahamishiwa sehemu fulani na ye kufatilia, ye kataka kukutana na baba yake na kutufahamu basi na si kingine, nachowasilisha damu nzito kuliko maji.