Ngoma itakuwa kwa watoto walioasili nani awachukue maana kwenye document waliwaasili kama coupleMkuu, inaonekana huwafahamu vizuri hawa.
Brangelina ni A-list celebrities na walikuwa na pesa ya kutosha kabla hata hawajaoana.
Vita itakuwa ni watoto ambao Brad amezaa na Angelina lakini sio pesa.
Na ukumbuke walifanya Prenuptial agreement ambayo haihusu mali kabla ya ndoa.
Si wote wana pesa watawatunza tu au mwanaume ndio anatakiwa atoe pesa nyingi zaidi,Jennifer Anston atakuwa anachekelea tu huko aliko,kazi ipo kwenye kugawana mpunga,Brad kazi anayo,Child support kwa watoto sita ataipata fresh.
Ngoma itakuwa kwa watoto walioasili nani awachukue maana kwenye document waliwaasili kama couple
Ni basi tu madini haya na mautamaduni yasiyoruhusu free will yametukamata.Evelyn salt. Njoo uone wajina wako. Lakini I liked this couple. Ila wazungu wao wanaruhusu talaka kwnini kwetu mpaka kifo, all the best Jolie
Wanajit.....mba wenyewe au...Men are polygamy in nature
Hivi mwanamke akifile divorce paper mahakamani wakati ndoa ilifungwa kanisani how inakuwa valid? Hizi paper zilitakiwa zipelekwe kule kule ndoa ilipofungiwa ili ifunguliweNi basi tu madini haya na mautamaduni yasiyoruhusu free will yametukamata.
Raha ya maisha ni kuishi utakavyo bila kuleta karaha kwa mwenzio.
Na hiyo ndio torati,usimfanyie mwenzio usichotaka kufanyiwa.
Lakin angelina ndio alikua anapenda hao watoto wa kuasili na mmewe alikua akilalamika kua kulea watoto wengi ni kazi kubwa ,na angel alikua anataka kuongeza tena watoto mmewe anakataaHii ni moja ya custody battle kubwa sana.
Nimesoma Yahoo amesema hataki cha Child support wala sent tano ya Brad...huyu ni mwanamke wa shoka...ukute yeye ndio ana mpunga mrefu...Jennifer Anston atakuwa anachekelea tu huko aliko,kazi ipo kwenye kugawana mpunga,Brad kazi anayo,Child support kwa watoto sita ataipata fresh.
Ndoa ni kitendawili kigumuMiaka 12 ya uchumba ndo walichunguzana, ndoa miaka 2 ina umuhimu gani sasa si bora wangeendelea na uchumba wao tu. Funzo hapa hata umchunguze mpenzi miaka 10 kabla ya kuoana anaweza kuigiza tu, wala uchumba wa muda mrefu haumaanishi ndoa itadumu
Unaona...child support haiwezi kuhusika hapo...Angelina ana mpunga mrefu sana kuna kipindi aliwahi shika namba 1 kwa waigizaji wa kike
Kwani Jolie ni Goalkeeper ? Ndio raha ya mwanamke kuolewa huku una persue dreams zako sio za mwanaumeJennifer Anston atakuwa anachekelea tu huko aliko,kazi ipo kwenye kugawana mpunga,Brad kazi anayo,Child support kwa watoto sita ataipata fresh.
Lakin angelina ndio alikua anapenda hao watoto wa kuasili na mmewe alikua akilalamika kua kulea watoto wengi ni kazi kubwa ,na angel alikua anataka kuongeza tena watoto mmewe anakataa
Haijalishi goalkeeper ama ala,child support ipo pale paleKwani Jolie ni Goalkeeper ? Ndio raha ya mwanamke kuolewa huku una persue dreams zako sio za mwanaume