Angelina Jolie: Uvutaji wa bangi na mchepuko wasababisha ndoa na Brad Pitt kuvunjika

Angelina Jolie: Uvutaji wa bangi na mchepuko wasababisha ndoa na Brad Pitt kuvunjika

Mkuu, inaonekana huwafahamu vizuri hawa.

Brangelina ni A-list celebrities na walikuwa na pesa ya kutosha kabla hata hawajaoana.

Vita itakuwa ni watoto ambao Brad amezaa na Angelina lakini sio pesa.

Na ukumbuke walifanya Prenuptial agreement ambayo haihusu mali kabla ya ndoa.
Ngoma itakuwa kwa watoto walioasili nani awachukue maana kwenye document waliwaasili kama couple
 
Evelyn salt. Njoo uone wajina wako. Lakini I liked this couple. Ila wazungu wao wanaruhusu talaka kwnini kwetu mpaka kifo, all the best Jolie
Ni basi tu madini haya na mautamaduni yasiyoruhusu free will yametukamata.

Raha ya maisha ni kuishi utakavyo bila kuleta karaha kwa mwenzio.

Na hiyo ndio torati,usimfanyie mwenzio usichotaka kufanyiwa.
 
Ni basi tu madini haya na mautamaduni yasiyoruhusu free will yametukamata.

Raha ya maisha ni kuishi utakavyo bila kuleta karaha kwa mwenzio.

Na hiyo ndio torati,usimfanyie mwenzio usichotaka kufanyiwa.
Hivi mwanamke akifile divorce paper mahakamani wakati ndoa ilifungwa kanisani how inakuwa valid? Hizi paper zilitakiwa zipelekwe kule kule ndoa ilipofungiwa ili ifunguliwe
 
Nimesoma Yahoo amesema hataki cha Child support wala sent tano ya Brad...huyu ni mwanamke wa shoka...ukute yeye ndio ana mpunga mrefu...
Angelina ana mpunga mrefu sana kuna kipindi aliwahi shika namba 1 kwa waigizaji wa kike
 
Duuuuuuh i liked this couple [emoji17] [emoji17]
 
Miaka 12 ya uchumba ndo walichunguzana, ndoa miaka 2 ina umuhimu gani sasa si bora wangeendelea na uchumba wao tu. Funzo hapa hata umchunguze mpenzi miaka 10 kabla ya kuoana anaweza kuigiza tu, wala uchumba wa muda mrefu haumaanishi ndoa itadumu
Ndoa ni kitendawili kigumu
 
Jennifer Anston atakuwa anachekelea tu huko aliko,kazi ipo kwenye kugawana mpunga,Brad kazi anayo,Child support kwa watoto sita ataipata fresh.
Kwani Jolie ni Goalkeeper ? Ndio raha ya mwanamke kuolewa huku una persue dreams zako sio za mwanaume
 
Lakin angelina ndio alikua anapenda hao watoto wa kuasili na mmewe alikua akilalamika kua kulea watoto wengi ni kazi kubwa ,na angel alikua anataka kuongeza tena watoto mmewe anakataa

Sidhani kama hiyo ni sababu.

Brad Pitt ni mlevi wa pombe na Angelina ni mtumiaji mzuri tu wa madawa ya kulevya.

Lakini Brad anaelezwa kwamba ni mkali sana ndani ya nyumba, hivyo mama hawezi kuendelea na hali hiyo wakati yeye ana watoto wengi na khasa Maddox ambae mama hapendi kumwona anasononeka baada ya kuambiwa na baba (Brad) hata jambo dogo la kumrekebisha.

It more about maintaining discipline kwenye nyumba ingawa baba anachapa kilevi na mama madawa, hivyo inakuwa ngumu.

Kama unafahamu Madonna na Guy Richie nao wametengana kwa sababu hizohizo za kutaka kuleta nidhamu kwenye nyumba na mama yake Rocco Madonna hapendi aadabishwe.

Nao wana watoto mchanganyiko hivyohivyo na Madonna ana watoto wengine wa kuwalea.

Matokeo yake Rocco ni mlevi wa madawa na natembea na vijana wengine wasosikia mitaani.

Hivyo ni suala la uamuzi muishi kama bibi na bwana mkiwa na hao watoto au marafiki wa karibu lakini sio ndoa kwa watu kama hawa wenye complex life styles.

Ndio maana mtu kama Hugh Grant hajaoa mpaka leo au George Clooney na mkewe Amal wameoana lakini kila mtu yupo busy na watoto si priority, na kuna uvumi kuhusu mustakabali wa Clooney kuhusiana na kuendeleza mahusiano na wanawake wengine akiwa ameoa (mzee wa emergency room).
 
Back
Top Bottom